Pascal Mayalla apata ajali.....

Pascal Mayalla apata ajali.....

Mdau Mpoki Bukuku wa Mwananchi na The Citizen anatujulisha kwamba Mwandishi wa siku nyingi na mtangazaji ambaye pia ni mjasiliamali ndugu yetu Pascal Mayalla amepata ajali mbaya ya pikipiki yake alipokuwa akisafiri kwenda mkoani Mkoani Dodoma.

Bw Pascal Mayalla amepata majereha sehemu mbalimbali za mwili ikiwa namkono ambao umepoteza mawasiliano na sehemu nyingine za mwili.JF hii inapenda kumpa pole ndugu yetu paschal Mayalla,apate Nafuu ya haraka.
Pole paskal get well soon
 
(RIP Mpoki Bukuku)aliyeleta Taarifa hii ... Pascal Mayalla Mungu aendelee Kukulinda.
 
Back
Top Bottom