MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
-
- #81
Kwahiyo hawamlipi / hapokei Pesa zao?Ni sawa maana najua jamaa kashastaafu mambo ya utangazaji ,hapo anafanya kama entertainment.
Unajipendekeza Kwake ili akuoe rasmi?Hawezi kusema chochote kwenye mada shallow kama hii Mkuu.
Tanzania haina Journalists usisumbuke.Mayala najuwa utasoma ila mimi sikujui wala hunijui personal na wala sio muhimu ila kwa ukweli kabisa na naongea hili kwa dhati mjitahidi media kwa ujumla Tanzania na waandishi wetu wajenge uwezo na kuongea au kuuliza mambo katika upeo wa juu sio mambo ya kureport tu unachosikia bila kuchambua taarifa kwa haki na weledi. Na wala hapa sisemi jambo zuri ni kupinga serikali tu hapana mazuri yasemwe lakini yaulizwe yanayoweza kuboresha zaidi sijui kiswahili fasaha constructive criticism. Hata wapinzani waulizwe maswali magumu maana sisi tunawasema CCM lakini pia wapinzani wanatabia zileile mtu akiwauliza basi kishakuwa adui. Mimi sina utaalamu wa habari lakini naamini haya yanawezeka na hii itachangia nchi kwenda pazuri. Media yoyote ichukue hoja upande na pia ichukue upande mwingine balance stories halafu watu watajuwa u ukweli ni upi kwa bahati mbaya news channel zote akiitwa mgeni basi unajuwa huyu wa upande huu, najuwa hili sio jambo la mtu mmoja lakini nyinyi na wengine wengi tu hili linawezekana bila kuwa na uadui wala msichukue side, kwenye hili wa Kenya wametuacha na tusiachwe zaidi ya hapa. Media zetu sio mtu anakurupuka tu anaita press watu wamejaa hakuna hoja yoyote kuna watu hawastahili kupata hata coverage lakini mambo ya msingi hawako. Sina solution ya moja kwa moja katika hili ila ningependa kuona free press bila uadui.
Messi anakuwa Kit Manager Yanga SC?Pascal Mayalla yeye kasema n guest pale Eatv sasa mtoa mada umepagawa.
Pale ndipo nilipomdharau hadi Leo hii.Mayalla, yupo vizuri bana. Alinishangaza tu kwenda kule jimboni mwaka jana .....akawapa nafasi "wajumbe" wamuadhiri!
Na akaishia Kuambulia Kura 1 tu yake.Alinishangaza mno..alikua ana mabandiko konky humu ajabu...njaa mbaya kweli...
Mungu anaipenda sana Tanzania..kuna kipindi nilisema ina maana Mungu hayupo? Kumbe anatupima tu imani...Na akaishia Kuambulia Kura 1 tu yake.
Muda wote alipokuwa Hewani leo EA Radio kazi yake ilikuwa ni Kukosoa tu W Watangazaji sasa kama anajiona ni Nguli kwanini asianzishe tu Chuo chake cha Uandishi wa Habari ili awafunde vizuri huko huko Darasani? Anaboa....!!Kwanza nampongeza kupata hiyo nafasi, maana kwa ninvyofaham mfumo wetu wa kiserikali/kisiasa ukiwa (kwenye tasnia) yoyote ukajifanya kuinanga na kuitweta serikali na kuonekana you're threat for future basi utasaga meno mpaka utakapoondoka duniani.
👉🏾 Kama hayaja kukuta ndiyo unaweza kumponda huyu jamaa.
Kwani amezuiwa Kuandika hizo Habari?Still Pascal Mayalla akiamua kuandika habari za kichunguzi kuhusu rushwa mabrabarani, kwenye mizani , utoaji wa dhamana hakuna muandishi anamkuta Tanzania hi, one thing he has exceptional ni msomaji na anajua vitu vingi.
Umeelezea Ukweli mtupu Ndugu. Heko.wanaziua wenyewe mkuu, siku hizi badala ya media kutafuta content, content zinawatafuta. yaan ukiwa na hela unaweza kabisa kununua kipindi redioni ili wakuhoji na ukachagua maswali ya kukuuliza.
nilisikitishwa sana na kipindi cha sabaya juzi pale clouds.
Nani atapoteza mda wake kufuatilia hizo media..
tusiisingizie technology ambayo ipo kila nchi lakini hatuoni anguko kubwa kama huku, waandishi na wamiliki wa media wamekosa ubunifu, uwezo na wanaua media kwa mikono yao wenyewe
Je, kwa hali hii ina maana Tasnia ya Habari nchini imekuwa Kimafanikio au imeshuka na sasa imeanza kupoteza Umuhimu nchini?
Binafsi kwa Hadhi ya Unguli wa Habari aliokuwa nao @Pascal Mayalla nilitegemea leo hii angekuwa anamiliki Chombo chake kikubwa sana cha Habari nchini Tanzania na siyo kuwa Mtangazaji Mchangiaji wa Kawaida mno EA Radio.
Mtu makini anaweza kupata Kura Moja?Hakugombea ubunge, kura za maoni alipata kura moja akaondolewa kwenye uchaguzi.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Na huu ndiyo Ukweli wote. Heko Ndugu.Toka amsababishie Erick Kabendera kufungwa mpaka kusababisha kifo cha mama yake ... Pascal national Rubbish tuu
Anakunja Mkwanja.....Ameombwa afanye hivyo,sasa ungekuwa wewe ungekataa?Kwahiyo hawamlipi / hapokei Pesa zao?
Muda wote alipokuwa Hewani leo EA Radio kazi yake ilikuwa ni Kukosoa tu W Watangazaji sasa kama anajiona ni Nguli kwanini asianzishe tu Chuo chake cha Uandishi wa Habari ili awafunde vizuri huko huko Darasani? Anaboa....!!
Naona amepita tu aki Mwaga Lakes kwa CommentKwani yeye Pascal anasemaje?