Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

Alikwenda mbali zaidi akamnukuu Rais wetu kuwa aliwahi kuwaambia wanahabari kuwa yeye anapenda kukosolewe ila akosolewe kwa Staha na kwa hoja.
Rais kama alisema haya, na bado mtu anaishia kumtukana, maana yake huyo mtu hana adabu na anatakiwa awajibishwe.
 
Paschal sio hakimu hata angekua kamsingizia..alichofanya ni kupinga hoja za kabendera maana hata yeye ni binadamu ana haki zake za kukubali na kupinga chochote kile...

Paschal hayuko katika serikali na hata kama yupo kama undercover bado maamuzi ya hatua za kuchukuliwa kabendera hayatoki kwa paschal maana yeye atakua kama informer tu na si vinginevyo.

So kama paschal ni informer shida yenu iko wapi? anaripoti kila analoona linafaa kufikishwa sehemu husika ila si paschal anaetoa order flani akamatwe,flani apewe kesi flani,Hiyo haimuhusu paschal.

Hamna anaejua kazi ya paschal out of journalist tunavyojua wote na sioni alipokosea wala kumtakia mwenzake mabaya,ni sawa na leo wewe umwambie rafiki ako "we jamaa mjinga sana" then after two days yule rfk ako apate ajali afe Unataka kusema utapewa lawama zote wewe kwakua ulimuita mjinga? unataka sema utakua umefurahia kifo chake kwasababu ulimuita mjinga? Jibu ni HAPANA.

tuna uhuru wa kujieleza tuna uhuru wa kufanya lolote so paschal alitimiza moja ya haki yake kama Mtanzania so mnae mvamia na kuleta porojo as if yeye ndie alietoa warranty ya kukamatwa kwa kabendera sazngine mjue kufkiria mara 5 tano.

Naweza gombana na wewe leo kwasababu nakudai hela yangu..lakini haina maana kesho nikisikia umefariki dunia ntakua na Furaha au mimi ndio msababishi wa wewe kufariki,,,kuna vitu vingine hata havihusiani yani.
 
Kwahiyo kuleta yale maandiko huku ni kumchomea?

Kwamba yangebaki huko isingejulikana?

Masikini wana desturi ya kupiga kelele
 
Noted with thanks sir
 
Mkuu to be honest haujaonyesha Ushahidi wenye nguvu wakuweza kutushawishi na kutuaminisha kwamba "Pascal is behind the scene " naomba kusanya Valid and Tangible evidences kinyume na hapo itakuwa ni tuhuma tu ambazo hazina mashiko
Its you who cant point out those key evidences that the writer has pointed out sir, think like a lawyer sir
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Well said !!
 
Mwandishi wa habari hii ni mfano ya wazandiki waliojaa hapa JF.
Kwanini uone kuwa Eric Kabendera akiandika anakuwa ndio anatumia uhuru wa kujieleza lakini Pascal Mayala akiandika anakuwa anamtetea Msukuma mwenzake?
 
Tangu apewe maana ya neno "MAYALA" kwa Ki-ZINZA hakuwa sawa tena .

Na zaidi alivyoitwa Dodoma kwa yule mgogo mwenye pengo kwa chini na kupewa "memorandum OF understanding" heheeheh

He was finished

Kwa sasa mayala ni leading Figure wa "Mataga"

Yaani ingekuwa Tz ni kule mbinguni basi yeye angekuwa kiongozi wa sifa nafasi ya--------
 
Hili hata mimi niliiona.Maandishi ya Paskali ni kama alikuwa na motive fulani behind,na tunaomjua Paskal ukiona anakomalia kitu ujue keshayajua ya nyuma ya pazia,hivyo anaamsha tu dude.Swali ni kuwa,hiki kilichotokea ndio alitaka kitokee?Namuachia mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…