Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

Kwenye u kabila, jamaa ni mkabila hasaa.

Ni kama yule mzee mwingine maarufu hapa jf alivyo mdini, alimchukia kikwete kwa dini yake na sasa anampamba jiwe kwakua ni mkristo.
 
Nasisitiza waandishi wa habari mtengeni Mayalla na waandishi wote wenye vinasaba vya ukabila na wanaoshindwa kusimamia taaluma badala yake wanaishia kujipendekeza kwa kuhofia uhai wao.
Mimi naomba niulize swali.
Huyo naye ni "mwandishi wa habari"? Kiwango chetu kimeshuka sana.
 

Acha mambo ya mbaazi kukosa maua na kusingizia jua. Kama mtu ameandika na analipwa kwa maandishi yake, mtu mwingine anahusikaje?
Tuwe wakweli. It makes life enjoyable and easy. Kila mtu atavuna anayopanda, for better or worse.
 
Kwani Paschal Mayala ndiye Kabander aliyemfungulia kesi ya utakatishaji.

Najua Paschal ni mbumbumbu katika sekta nyingi na huwa namkabili humu lakini siyo kama unavyotaka tuamini katika hili.

Cc:
Pascal Mayalla

Hizi ni hadhithi za kutunga tu. Unajua watanzania tunaenda na hisia bila facts za kutosha. Ndio maana mtu akisikia sauti ya mwizi, unaweza kumuona mBio anaenda kupiga mwizi, bila kujiridhisha anayepigwa kweli kaiba.
 
Matusi yapi alimtukana malaika wenu? Hivi serikali ya CCM inaogopa nini kama inajua inapendwa? Mbona inatumia nguvu nyingi kupambana na wakosoaji wake?
 
Watanzania tuachane na chuki za ukabila .Hakuna hata mara moja binadamu anapenda abaguliwe kutokana na kabila lake,dini yake,rangi yake nk ingawa .Wapo watu ambao hawajari wanaendelea kupromote chuki au kuona kabila fulani ndio wezi,matapeli ,wanapashwa watengwa katika uongozi kwa kuwa eti ni wakabila fulani .Mitizamo ya aina hii uendeleza chuki haina faida kwa ustawi wa taifa letu .Inauma watu wasiokuwa wastaarabu kubaguana.
 
Hii tunaelekea ndiko siko.....,

Moja; tuache kulaumu messengers / wapambe bali tujike kwa anayepambwa kwa makosa yake

Pili; Paskali kama yasemwayo ni ya kweli alaumiwe kwa anachokiandika kwa wakati huo kikiwa pumba basi kipingwe kwa upumba wake.., sio kwamba sababu huwa anaandika pumba hata akiandika point nayo tuipinge (kwahio alikuwa na haki ya kupinga chochote kwa wakati huo kulingana na upeo wake); tunaweza kulaumu motives zake ila sio matokeo ukizingatia wanaofanyia kazi matokeo ni watu na akili zao (tulaumu hao wenye akili wanaofanya kazi vibaya)

Tatu; kama Paskali ni mchonganishi basi alaumiwe kwa hilo, ila sio sababu ya kupinga na madhara ya kupinga kwake kusababisha kitu..

Nne; Paskali anayo haki ya kuwa mpambe, cheerleader au mapenzi kwa mtu yoyote.., so long as akiandika anabaki kuwa objective.., kwahio apingwe kwa kutokuwa objective kwa wakati huo sio kila anachoandikwe kipingwe sababu mlengo wake ni tofauti na wa wengine..
 
Kama ulisoma vizuri makala za P ni rahisi sana kukubaliana na mleta mada, kwenye hizo makala za P alikuwa haeleweki kwanza alizileta kimtindo wa swali then anaonyesha kutaka watu wajue ambacho kinaandikwa nje nchi yetu, wakati mwingine ni kama anamkaanga rais wetu ila kimtindo.
 
Were tuambie, Hugo Kabendera alichokiandika ni sahihi has a kwa mzarendo nchini mwake?
Na je alitumwa na nani?
Sasa unataka Mayalla amuite,aongee naye kiss ni wa kanda ya ziwa! Hiyo ni poor ideology
Hii habari ya Free Kabendera no utoto,kwani mahakama kazi take nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…