Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

Makala za Erick Kabendera zilikuwa za kimataifa ktk majarida makubwa yenye heshima ktk lugha ya Kiingereza.

Nahisi waandishi wengine wa kiTanzania walishindwa kuzielewa maana wengi siyo mahiri ktk lugha ya kigeni na kuzileta JamiiForums kwa 'kimatumbi huku wakidai zinachafua nchi na kupiga juhudi.
 
Acheni uchonganishi. Kwanini mnapenda sana ukabila? Usukuma wa Paskal na JPM unahusiana vipi na hoja zilizo mezani? Kwahiyo Paskal usukuma wake ni pale anapoandika positively kuhusu JPM?
 
Pascal Mayalla ni kinyonga mwananzengo
 
Acheni uchonganishi. Kwanini mnapenda sana ukabila? Usukuma wa Paskal na JPM unahusiana vipi na hoja zilizo mezani? Kwahiyo Paskal usukuma wake ni pale anapoandika positively kuhusu JPM?
Mko wengi tunawatambua kwa matendo yenu
 
Mimi wa kaskazini hawezi niandika hata kama nafanya mengi kwa manufaa ya taifa. Hapo ndipo kimbembe cha wananzengo kilipo
 
Mtoa post hajielewi kabisa kwa hoja ya ukabila mtu asifanye kitu kisa kabila flan, mbna husemi kabila la kaflag limeonewa?? Shit
 
Japokua hatamimi mayala nikimwangalia hua naona kama ndumikuwili hivi.haeleweki
 
Mkuu to be honest haujaonyesha Ushahidi wenye nguvu wakuweza kutushawishi na kutuaminisha kwamba "Pascal is behind the scene " naomba kusanya Valid and Tangible evidences kinyume na hapo itakuwa ni tuhuma tu ambazo hazina mashiko
Mbona yy hajakana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…