Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

Hakuna tabia mbaya Kama kupenda kujipendekeza kwa wakubwa au wenye navyo,yaani mtu hata aone mwenzie anateketea yeye anazidisha udananda wake tu ili aonekane yeye ndo mwema.
 
Ukiwa Mkuu wa Nchi asipokuandika hapo ndio tutathibitisha ukabila..., Huenda katika heka heka za kutafuta mkate wa kila siku inabidi kuandika chenye manufaa kwake (kinachouza..)
Una kumbukumbu nzuri sana. Ni kweli maendeleo hayana chama wala kanda kwa tunachoshuhudia?
 
Una kumbukumbu nzuri sana. Ni kweli maendeleo hayana chama wala kanda kwa tunachoshuhudia?
Yana vyama na Ukanda..., Je hayo tutayaondoa kwa sisi pia kushiriki katika ukanda wetu kwa kuona kanda ile haifai, au kuwapuuza wale wanaoleta ukanda na sio kanda ya wale wanaoleta ukanda ?
 
"unapojaribu'
 
Kumbe mleta mada ndiye aliyekosea na huyo dada aliyeuliza yupo sahihi, ok poa

Mkuu ,Mada nzima amezungumziwa Binadamu mwenye Jina hata kama lilikosewa bado haliondoi kuwa anazungumziwa Binadamu ktk Hoja hii.

Huyo mwana Dada ama ameamua kuuchagua Ujinga ktk kuuliza na pengine anajua anacho kifanya kwa makusudi flani.

Mwana Jamiiforums mwenzetu anahusika kwa Asilimia kubwa kwa kujua au kutokujua ,Sababu ktk masuala ya Usalama kila Sababu ni Sababu hata kama ni ndogo kiasi gani.
 


Bora ww unamwelewa Mayala..kiukweli watz akilk zetu baadhi zimelala mnoo! hv hamjui P Mayala ni mchochea kuni maarufu jamani?😂😂😂...P anakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa..huyu ni wale mgongo wako una mabaka baka lakini atakushauri uvae backdress😂😂😂..!uumbuke! atakupamba utajiona King kumbe sio lolotr!mtoa mada umejiabisha sana sana
 


Uko MSMART sana ww
 

Kama ni kweli ndiye alikuwa anaandikia The Economist hakika hafai kuwa nje ya gereza tumepambana sana kumjua mtoa matusi na mharibu taswira ya nchi yetu

Alichokuwa analipwa ili kuchochea hasira dhidi ya Mataifa ya nje na wananchi kisaidie ndg zake

Mshenzi sana na kundi lake lililokuwa likimtuma

Asante umetufumbuwa macho
 


Paskali mada zake zote hata haizijitaj kuwa na Phd jaman kujua anamaanisha nn😂😂 kwanza mie nasoma nikiwa nacheka naishia kisonya..P hafaii..yaan bora Kabendera Paskali hafai kbs..!
 
If it's a genuine question

Nikusaidie kidogo
Ni Mtanzania

Kama ni swali la kebehi

Nikukumbushe
Ni Mtanzania
Mtoto wa mtu
Ni provider wa familia
**'Utu haununuliwi dukani

Yupo mahabusu kwa makosa yasiyoeleweka


Ndo maana huwa nakupenda! Nataman wanawake wote tungekuwa na utu hata robo kama ww...kuna wanawake ni watesi sana wa watoto wa wenzao! Vicky akiongoza..!
 
Hahaha niliwahi kusema humu, Pascal Mayalla taratibu mtamfanya kama Makonda.
Sio vizuri kupakaziana, Mnaweza kuleta utani, mwenzenu hana ulinzi yule akauwawa.
Simtetei, sijui chochote kuhusu hili, Ila sipendi kutuhumu bila uhakika, nanyi wenzangu msifanye hivyo.
 

Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…