Kwanza lazma watu mjue kuwa andiko la Pascal kupinga habari ya the Economist ndio iliyoamsha watu na kuanza kufuatilia ni nani na yuko wapi anae ripoti habari hizo katika gazeti la the Economist? Hapa naomba nieleweke,hata watmishi idara nyeti walianza kufatilia gazeti ilo baada ya kusoma...
Mkuu Hufi Leo, kwanza sikujitokeza kujibu tuhuma hizi kwa kuzipuuzia tuu kuwa kwa vile huu ni uongo na uzushi, uongo mwingine na uzushi ukiuupuuzia tuu utayeyuka na kupita tuu kama upepo hivyo nilipuuza kwa matumaini ni upepo tuu na utapita. Lakini leo baada ya kifo cha mama yake, nimeona nisiendelee kunyamaza hivyo ndio nimejotokeza leo na kukujibu in points format.
Hatua yangu ya kwanza, ni kutuma Salaam maalum kwa rais Magufuli.
Wanabodi Tangu kukamatwa kwa Mwandishi wa habari za kiuchunguzi Eric Kabendera, na kukamatwa kule kukahushishwa na makala zake, na kwa vile ni mimi niliyekuwa natafsiri makala za majarida ya nje na kuzileta humu jf, hivyo nikatuhumiwa kuwa ni makala za jf ndio zimemchongea Eric Kabendera...
www.jamiiforums.com
Kisha nikawaka hoja zako in points format ili kujibu kila hoja
Hukuna uthibitisho kuwa ni andiko langu lilipelekea jarida hilo lifuatiliwe, hakuna uthibitisho wowote kuwa sasa jarida hilo linafuatiliwa na hakuna uthibitisho wowote kuwa Eric Kabendera ndie mwandishi wa makala mimi nilizokuwa nazileta humu.
Mimi sina uthibitisho wowote kuwa watu wa Idara nyeti walianza kufuatilia jarida lile baada ya bandiko langu humu jf, lakini kwa vile hata sisi humu jf hatujuani nani ni nani, its good to know that na pia sikuwahi kumjua mwandishi wa makala zile, I'm now learning from you.
Kwenye makala zangu nilikiwa naweka kila cha kweli na cha uongo, niliukubali ukweli na kuupinga uongo na sio kwa lengo la kujipendekeza kwa Msukuma mwenzangu. Kazi ya mwandishi wa habari ni kusema ukweli na kuandika ukweli, mimi ni mkweli, msema kweli na mwandika ukweli bila kujali ukweli huo utamfurahisha nani au kumchukiza nani.
Naendelea kusisitiza sikuwahi kumjua mwandishi ni nani, ila hata ningemjua, as long as anachoandika ni kweli, bado nisinge muita mwandishi yoyote kumuonya kwa kazi yake yoyote bali bado ningeendelea kukosoa au na mimi kuandika makala zangu kwenye magazeti yangu ninayoandikia. Hapa nilipo kuna waandishi wengi critical tunafahamiana na kuheshimiana, andiko lolote linajibiwa kwa andiko na sio kwa kuitana.
Hii ni personal opinion, kuna watu wenye roho za kishetani ambao wanafurahia binaadamu wenzao wanapopata matatizo, very unfortunately mimi sii miongoni mwa watu wa kundi hili, wanaonijua wananijua na wanaonisoma, wananisoma.
Kwavile tangu mwanzo sikujua kama ni Eric Kabendera wala sikujua nini kitatokea, pia hili sikulijua.
Hili sii kweli.
Ungeliweka hilo andiko
Waandishi wa habari hawawezi kulifanya hili.
Nimeunga mkono rai yako.
Nampa pole sana Eric Kabendera kwa mapito anayopitia.
Pĺ
Pascal Mayalla ufataani anao kweli kweli, kwa hilo siwezi mkatalia au mtetea. Tena ni nyoka haswa mwenye vichwa viwili, kimoja mbele kimoja nyuma, kikikukosa cha mbele cha nyuma kinakungoja.
Binafsi nimeshamueleza mara nyingi sana humuhumu JF kuwa yu fataani.
Nnawashangaa sana kuwa ndiyo kwanza mnayajuwa hayo, nikizipata posts nilizowahi kumwambia kuwa yu fataani nitawawekea humu muone kuwa nililiona hilo zamani sana.
Na fataani mwengine na ndumila kuwili ni anaejiita Mzee Mwanakijiji.
Wanabodi Tangu kukamatwa kwa Mwandishi wa habari za kiuchunguzi Eric Kabendera, na kukamatwa kule kukahushishwa na makala zake, na kwa vile ni mimi niliyekuwa natafsiri makala za majarida ya nje na kuzileta humu jf, hivyo nikatuhumiwa kuwa ni makala za jf ndio zimemchongea Eric Kabendera...
Uzi juu ya mbandika uzi unahitajika busara kumuhukumu mwenzetu.
Mayalla ni mtabiri tu, kumuhukumu kwamba alikusudia kumuchoma Kabendera unakua hutendi haki...
UTABIRI WAKE
Yaani alitizama juu akaona mawingu yametanda akashusha kichwa chini akasema tu MSIMU WA MIMBA UMEWASILI Sasa kumuhukumu kwamba yeye ndiye aliyemtuma akamtie mimba mwanafunzi hatumtendei haki.
Pascal ninaweza kuwa sikubaliani naye kwenye mambo mengi, ni kawaida, ila kwa hili hapana. Sioni kosa lake. Nimesoma comments hapo juu sioni yeyote aliyeleta ushahidi wa Pascal kumfanyia snitching Kabendera. Naona comments zimejaa emotions zaidi ya common sense.
Huu uzi niliona ni wa kijinga tangu mwanzo,mleta uzi alikuwa ameunga unga mambo kwa hisia tu, hakuwa na facts wala circumstantial evidence. Since then watu wengi walibeba huu ujinga na kumtuhumu Pascal.
By then nafikiri kwa busara, Pascal hakujibu, na ni principle nzuri kwa watu wengi, usijibizane na wapumbavu. Sasa leo Pascal umejibu ya nini?
Anayemtesa Kabendera anafahamika na aliyesababisha kifo cha mama Kabendera anafahamika. Sasa ya nini kumtuhumu Pascal.
ni rahisi kumnyooshea mtu kidole ama kwa hisia au kwa kufata mkumbo kama Pascal angekuwa snitch angekuja kwa kutumia id ambayo inajificha lakini yeye yuko wazi na picha yake ameweka tatizo jingine kuna watu humu wanataka watu waweke mada zinazoendana na hisia na mitazamo yao akiweka tofauti lazima atashambuliwa kuwa ama ni chadema au ccm ila ukisoma kiwa tafakuri mada za Pascal hakuna sehemu yoyote aliyomchongea Kabendera
Pascal Mayalla nenda ukachukue mgao wako wa nyama ya marehemu mama Kabendera, uliyotaka yametimia wewe na washirika wako. Unachumia tumbo mpaka unasababisha kifo cha mzazi wa mwenzio. Laana ikuangukie wewe hao wenzio.
Pascal Mayalla nenda ukachukue mgao wako wa nyama ya marehemu mama Kabendera, uliyotaka yametimia wewe na washirika wako. Unachumia tumbo mpaka unasababisha kifo cha mzazi wa mwenzio. Laana ikuangukie wewe hao wenzio.
Pascal Mayalla ufataani anao kweli kweli, kwa hilo siwezi mkatalia au mtetea. Tena ni nyoka haswa mwenye vichwa viwili, kimoja mbele kimoja nyuma, kikikukosa cha mbele cha nyuma kinakungoja.
Binafsi nimeshamueleza mara nyingi sana humuhumu JF kuwa yu fataani.
Nnawashangaa sana kuwa ndiyo kwanza mnayajuwa hayo, nikizipata posts nilizowahi kumwambia kuwa yu fataani nitawawekea humu muone kuwa nililiona hilo zamani sana.
Na fataani mwengine na ndumila kuwili ni anaejiita Mzee Mwanakijiji.
Pascal Mayalla ufataani anao kweli kweli, kwa hilo siwezi mkatalia au mtetea. Tena ni nyoka haswa mwenye vichwa viwili, kimoja mbele kimoja nyuma, kikikukosa cha mbele cha nyuma kinakungoja.
Binafsi nimeshamueleza mara nyingi sana humuhumu JF kuwa yu fataani.
Nnawashangaa sana kuwa ndiyo kwanza mnayajuwa hayo, nikizipata posts nilizowahi kumwambia kuwa yu fataani nitawawekea humu muone kuwa nililiona hilo zamani sana.
Na fataani mwengine na ndumila kuwili ni anaejiita Mzee Mwanakijiji.
Duuuh,kweli watu wana mihemuko humu ndani,kuchafuana kirahisi rahisi tu bila sababu za msingi kabisa,
Naomba kuuliza....
Endapo Kabendera angekuwa yupo uraiani (hajakamatwa kama ilivyo sasa) mpaka leo hii,je Mama yake asingetangulia mbele za haki?
Maandiko yake mara nyingi ni ya kifataani na undumila kuwili. Hana fikra njema wala hana chembe ya staha. Wanomfahamu "personal" watathibitisha kuwa anaweza kukugeuka wakati wowote kwa lolote lile.
Ni mtu hatari sana.
Angeelewa maana ya usemi huu "Pen is mightier than the sword". Asingekuwa anafanya huo ujinga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.