kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Huwezi elewa kwani hujataka kuelewa...tumzike mama mayala ama njaa Kali kafaidika na alichotaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Pascal ninaweza kuwa sikubaliani naye kwenye mambo mengi, ni kawaida, ila kwa hili hapana. Sioni kosa lake. Nimesoma comments hapo juu sioni yeyote aliyeleta ushahidi wa Pascal kumfanyia snitching Kabendera. Naona comments zimejaa emotions zaidi ya common sense.
Huu uzi niliona ni wa kijinga tangu mwanzo,mleta uzi alikuwa ameunga unga mambo kwa hisia tu, hakuwa na facts wala circumstantial evidence. Since then watu wengi walibeba huu ujinga na kumtuhumu Pascal.
By then nafikiri kwa busara, Pascal hakujibu, na ni principle nzuri kwa watu wengi, usijibizane na wapumbavu. Sasa leo Pascal umejibu ya nini?
Anayemtesa Kabendera anafahamika na aliyesababisha kifo cha mama Kabendera anafahamika. Sasa ya nini kumtuhumu Pascal.
Sent using Jamii Forums mobile app