Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

Hahaaha hio laana huikwepi mzee
Jipe matumaini tu na thread yako hii

Sent using Unataka kujua ili iweje
 
utakufa kifo kibaya sana pascal,mnafiki mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bibi Bibi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu atakulipa sawa na Matendo yako....utafikiri na kuwaza kwa kutumia tumbo...sababu wewe ni njaa kama Rais alivyotutafsiria ulivyo kwa kisukuma...

Na laana iwe juu yako...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi juu ya mbandika uzi unahitajika busara kumuhukumu mwenzetu.

Mayalla ni mtabiri tu, kumuhukumu kwamba alikusudia kumuchoma Kabendera unakua hutendi haki...

UTABIRI WAKE
Yaani alitizama juu akaona mawingu yametanda akashusha kichwa chini akasema tu MSIMU WA MIMBA UMEWASILI Sasa kumuhukumu kwamba yeye ndiye aliyemtuma akamtie mimba mwanafunzi hatumtendei haki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascal ninaweza kuwa sikubaliani naye kwenye mambo mengi, ni kawaida, ila kwa hili hapana. Sioni kosa lake. Nimesoma comments hapo juu sioni yeyote aliyeleta ushahidi wa Pascal kumfanyia snitching Kabendera. Naona comments zimejaa emotions zaidi ya common sense.

Huu uzi niliona ni wa kijinga tangu mwanzo,mleta uzi alikuwa ameunga unga mambo kwa hisia tu, hakuwa na facts wala circumstantial evidence. Since then watu wengi walibeba huu ujinga na kumtuhumu Pascal.

By then nafikiri kwa busara, Pascal hakujibu, na ni principle nzuri kwa watu wengi, usijibizane na wapumbavu. Sasa leo Pascal umejibu ya nini?

Anayemtesa Kabendera anafahamika na aliyesababisha kifo cha mama Kabendera anafahamika. Sasa ya nini kumtuhumu Pascal.
 
ni rahisi kumnyooshea mtu kidole ama kwa hisia au kwa kufata mkumbo kama Pascal angekuwa snitch angekuja kwa kutumia id ambayo inajificha lakini yeye yuko wazi na picha yake ameweka tatizo jingine kuna watu humu wanataka watu waweke mada zinazoendana na hisia na mitazamo yao akiweka tofauti lazima atashambuliwa kuwa ama ni chadema au ccm ila ukisoma kiwa tafakuri mada za Pascal hakuna sehemu yoyote aliyomchongea Kabendera
 
Kama ni yy basi alaaniwe atokapo nyumbani, alaaniwe aingiapo nyumbani, alaaniwe apitapo njiani, alaaniwe asimamapo, alaaniwe aketipo, alaaniwe alalapo, alaaniwe asubuhi na jioni hata majira yote.

Na majira kama haya msiba utue kwenye nyumba yake.

BWANA akaoneshe utukufu wake kwa hili jambo nasi tuseme ameni.
 
Weka hapa hayo mabandiko Mjahidina wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hakimu kwa ushahidi wa hili andiko na useme Paskal kakosea wapi?
 

Tupe sababu, kwa kweli wewe ni mtu ninayekuheshimu sana, ukitoa shutuma kama hizi siwezi kupuuza, hemu sema sababu ya shutuma Zako!?
 
Duuuh,kweli watu wana mihemuko humu ndani,kuchafuana kirahisi rahisi tu bila sababu za msingi kabisa,
Naomba kuuliza....
Endapo Kabendera angekuwa yupo uraiani (hajakamatwa kama ilivyo sasa) mpaka leo hii,je Mama yake asingetangulia mbele za haki?
 
Tupe sababu, kwa kweli wewe ni mtu ninayekuheshimu sana, ukitoa shutuma kama hizi siwezi kupuuza, hemu sema sababu ya shutuma Zako!?
Maandiko yake mara nyingi ni ya kifataani na undumila kuwili. Hana fikra njema wala hana chembe ya staha. Wanomfahamu "personal" watathibitisha kuwa anaweza kukugeuka wakati wowote kwa lolote lile.

Ni mtu hatari sana.

Angeelewa maana ya usemi huu "Pen is mightier than the sword". Asingekuwa anafanya huo ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…