Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

Kuna siku alisema yy anachojali ni awe na afya njema ili aweze kufanya kazi na kujitunza yy na watoto wake...niliishia kuziba mdomo tu ....maana kwa sasa anaweza kujiona yuko salama ila siku litakapomkuta la ku,mkuta mtoto wake tena kwa kubambikiziwa ndo atakumbuka usemi wa "leo kwangu kesho kwako"
Tulimwambia kinana abutue kombolela atuokoe akajiona yeye yupo katikati ya wokovu amhofu nani? (kwa sasa anawindwa kama digidigi)

Tukamwambia Nnape "braza bunge msilizime jamani!" akatuona mafala (kiko wapi?)

Mzee makamba tulimwambia kumuomba atuokoe akatukejeli kuwa tutabatizwa kwa moto. (kwa sasa ananyolewa kavu bila maji)

Niishie hapo kwa sasa
 
Nyie ndo masnitch,MTU yeyote ambaye yupo jamiiforums anajua mmeanzisha huu Uzi kwa malengo mahsusi,Pascal hawezi kuwajibu nyie Wa low profile kwa Uzi Wa kipuuzi mbaya zaid hata uchangiaji wenu unaonyesha ni jinsi gani mlivyo wapumba-----vu kama anavyowambia Joseph Kasheku Msukuma naye amewachoka kwa upumbavu wenu kama huu.
Sasa kama unanukuu maneno ya standard 7 utakuwa na high price?

EMPTY SKUULED WEWE NA MSUKUMA MMEO
 
Kosa kubwa alilofanya Pascal ni kujitambulisha kuwa ni msukuma na akajulikana kuwa ni msukuma, atajuta kwa kipindi chote cha uongozi wa ndugu yake, hata aje na uzi gani huu atahusishwa na ukabila, too bad.
 
Uzuri wake Pascal anaijua Karma na anaiaminina kama ni kweli amemsnitch mwenzie asubiri matokeo ya alichopanda

Kwani kosa gani kafanya pascal?Hivi hilo gazeti linasomwa na pascal pekee? Hivi nini maana ya uhuru wa maoni na demokrasia? Hebu twambie ni vipi Pascal Kamchongea kaflag?
 
Namufahamu mama yake ni kada mkubwa wa CCM huyu kijana wake Erick bado mdogo wamuachie wamuonye aelewe awe Mzalendo kama vijana wenzake .Siku zote vijana uonywa sio kuwazima kabisa.Ebu angalia Museveni na Bob Wine ni kijana mdogo lakini anaonywa kila siku .Nchi yetu haiwezi kujengwa na wazee wanaokariri na wanaokwepa mabadiriko kama Mugabe. Bila kuwa na vijana wenye fikra mpya wa kupambana na challanges za mabadiriko ya sayansi na tekinorojia tutaendelea kuwa na sampuli ya watu wao kila kitu ni ndio hapo ujuwe kuna shida
 
Kuandika ukweli kuhusu yanayojiri nchini ni UZALENDO.

Namufahamu mama yake ni kada mkubwa wa CCM huyu kijana wake Erick bado mdogo wamuachie wamuonye aelewe awe Mzalendo kama vijana wenzake .Siku zote vijana uonywa sio kuwazima kabisa.Ebu angalia Museveni na Bob Wine ni kijana mdogo lakini anaonywa kila siku .Nchi yetu haiwezi kujengwa na wazee wanaokariri na wanaokwepa mabadiriko kama Mugabe. Bila kuwa na vijana wenye fikra mpya wa kupambana na challanges za mabadiriko ya sayansi na tekinorojia tutaendelea kuwa na sampuli ya watu wao kila kitu ni ndio hapo ujuwe kuna shida
 
Ungesahihisha jina tu usingepungukiwa chochote.
Ndo maana nimeuliza. Nasahihisha vipi wakati ndani ya text yote anatajwa Fredrick? What if mwandishi anamaanisha Fredrick Kabendera kweli? KUULIZA SI UJINGA. NILITAKA KUJUA FREDRICK NI YUPI HUYO?
 
Niombe wasomaji wangu muelewe kuwa sina nia mbaya ninapojaribu kuja na uchambuzi wa namna hii. Lengo langu ni kuoneshana kuwa nchi yetu iko hatarini hasa pale taaluma moja ambayo Taifa linawategemea wanaposigana katika jamii nani anayeumia zaidi!

Nakumbuka siku za hivi karibuni gazeti la the Economist lilikuja na habari ambazo Mkuu Pascal aliziita kuwa ni habari za uongo dhidi ya Rais wetu wa Tanzania.

Gazeti ilo liliwahi kuja na habari kuwa "Rais wa Tanzania hapendi kukosolewa"

Gazeti ilo baada ya kuchapishwa Pascal Mayalla alikuja na bandiko la kupinga habari ile huku akionesha jinsi ambavyo sio kweli Rais wetu anapenda kukosolewa.

Alikwenda mbali zaidi akamnukuu Rais wetu kuwa aliwahi kuwaambia wanahabari kuwa yeye anapenda kukosolewe ila akosolewe kwa Staha na kwa hoja.

Pascal Mayalla kwenye andiko lake anatolea mfano kuwa yeye Pascal Mayalla ni moja ya wanahabari ambao waliwahi kumkosoa Rais na Rais alikubali kukosolewa kwa kumjibu huku akimtania.

HOJA.

Kwanza lazma watu mjue kuwa andiko la Pascal kupinga habari ya the Economist ndio iliyoamsha watu na kuanza kufuatilia ni nani na yuko wapi anae ripoti habari hizo katika gazeti la the Economist?

Hapa naomba nieleweke,hata watumishi idara nyeti walianza kufatilia gazeti ilo baada ya kusoma bandiko la Pascal Mayalla hapa JF, na ndipo wakaja kugundua kuwa kumbe mwandishi wa habari zile na nyeti kupitia gazeti lile ni ndugu yetu Erick Kabendera.

Kwanini walifuatilia,kiukweli kilichoandikwa na mwandishi huyo wa habari kilikuwa na ukweli wa 100%ingawa huyu Ndugu Mayalla alikipinga kwa lengo la kujipendekeza kwa msukuma mwemzake.

Je, Pascal Mayalla alijua tangu awali kuwa Kabendera ndie anayeandika habari nyeti na kuziripoti The Economist na alishindwa kumuita kama mdogo wake na kumpa onyo?

Kimsingi kifungo cha Kabendera nadhani ni furaha kwa Mayalla kwani alimjua tangu awali na alishindwa kabisa kumuita na kumuonya ingawa wote wanatoka kanda ya ziwa.

Je, Pascal alijua Erick akifungwa tegemezi wake watalia na kusaga meno na wengine watajitokeza mitandaoni wakimlilia kwa kukosa hata fedha ya kununua Dawa?

Nadhani yote aliyajua ndio maana tangu Kabendera awekwe korokoloni hajawahi jitokeza popote kulaani kukamatwa kwa kijana huyu zaidi inasemekana ndio kwanza anatafuta makala zote zilizoandikwa huko nyuma na kuzisoma na kuzifafanua kwa vijana wa idara nyeti ili kijana azidi kubanwa.

Andiko la Mayalla dhidi ya kumtetea ndugu yake liko hapa JF linaudhi linaumiza kwani humo ndani anawataja wakosoaji wakubwa wa nchi hii ambao leo hii wamegeuziwa rangi ya unga wa ndere wao wanaita unga mweupe sasa huku wakila kuku kwa mirija.

Nasisitiza waandishi wa habari mtengeni Mayalla na waandishi wote wenye vinasaba vya ukabila na wanaoshindwa kusimamia taaluma badala yake wanaishia kujipendekeza kwa kuhofia uhai wao.

Natoa rai kwa Serikali ya Jamhuri kumwachia huru Kabendera. Tusipomdai kwa kiswahili tutawataka kwa kilugha, na hapo ndipo tutakapozuia kiongozi yeyote kuingia mkoa wa Kagera mpaka "omwana weitu mumutaishure.""
Pasko awaite waandishi wa habari ili kutoa ufafanuzi
 
Aliandika kulinda tumbo lake kwa mabeberu na watu walionyuma yake, mwache anyee ndoo kavuna alichokipanda...... tegemez hata Osama alikuwa nao na bado aliuawa
 
Back
Top Bottom