Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huyu siku ile alipoambiwa maana ya Mayala ni njaa Rais aliona mbali sanaMwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Mbona hujibu hoja nyingine?
Wewe Mbaguzi Mayala.
Mwandishi nguli kama wewe unaendekeza Ukada?
Pole sana, Hakuna Cha Kuisifia NEC hapo wakati wagombea wengine wanaenguliwa na wengine kutekwa.
Basi Tume iseme kuwa wale waliotekwa au kukamatwa waachiliwe kurudisha fomu kisha waendelee na kesi zao.
n waliotekwa wakiachiwa huru walete fomu zao kabla kipindi cha kampeni kuisha..
Kuwa Mkweli. Pascal
Futa hio mwanasheria nguli - u nguli wake upo wapi?Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Soma Post yake ya leo hii utajua kuwa bado inaendelea kuchangiwaMkuu Yohane Mbatizaji, natumaini kwa sasa umeisha anza kukubaliana na mimi, kwa jinsi NEC inavyoshughulikia uchaguzi huu, inathibitisha bila kuwa NEC sio tuu ni Tume Huru, bali ni Tume Huru yenye Utu, ambayo licha ya mapungufu kadhaa, bado fomu za wagombea wote wa urais zimepokelewa na karibu wote wamepitishwa!.
P
Tunawaeleza watu humu kuwa NEC ni Tume Huru, hawatuelewi, hivyo press release kama hizi, zinasaidia
Mkuu Chiifu Kabi (kazi) Kula, hata Mahakama, Jaji Mkuu anateuliwa na rais, na mahakama inatenda haki. Hata Bunge, Katibu wa Bunge anateuliwa na rais na Bunge linatimiza wajibu wake.Kama nec msingi wake ni rais inakuwaje huru
Ndomana h. Rungwe anawaletea ubwabwa+birianMbona hujibu hoja nyingine?
Wewe Mbaguzi Mayala.
Mwandishi nguli kama wewe unaendekeza Ukada?
Pole sana, Hakuna Cha Kuisifia NEC hapo wakati wagombea wengine wanaenguliwa na wengine kutekwa.
Basi Tume iseme kuwa wale waliotekwa au kukamatwa waachiliwe kurudisha fomu kisha waendelee na kesi zao.
n waliotekwa wakiachiwa huru walete fomu zao kabla kipindi cha kampeni kuisha..
Kuwa Mkweli. Pascal
Mkuu Chale Mususa, naomba usisuse!, kuuliza kama uzi umerudi tena, is as if uliondoka na sasa umerudi,wakati in reality uzi huu upo na haukuwahi kuondoka.Huu uzi umerudi tena!!!! amedeclare interest kama kawaida?
Na wewe unatafuta kitu gani kwa kauli yako? Yeye ametoa mawazo yake. Unamtukana kwamba anatafuta U-DC kwa mawazo hayo. Yaani wewe una monopoly ya kutoa mawazo na wengine hawana?Pascal Mayalla anatafuta u DC siwezi kumshangaa