Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu wakurochi , nimedanganya wapi?.Huyu jamaa aidha yuko desperate au anatumika, hawezi kutudanganya wooooooote. Yote maisha
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wakurochi , nimedanganya wapi?.Huyu jamaa aidha yuko desperate au anatumika, hawezi kutudanganya wooooooote. Yote maisha
Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa CHADEMA , Freeman Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source: Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Wanabodi,
Hii ni TV Program Alert, ambapo Tume ya Taifa ya Uchaguzi, inashiriki katika maonyesho ya kilimo ya Nane Nane katika uwanja wa Mwl. J.K Nyerere mjini Morogoro.
Ushiriki huo wa Tume ya Uchaguzi kwenye Maonyesho, ni fursa nzuri kwa wale wote wenye madukuduku kuhusu Tume kama ni tume huru, na uchaguzi, kama ulikuwa huru na wa haki.
Kwa vile sii wote wataweza kutembelea banda hilo huko Morogoro, kwa faida ya wengi, nimetembelea banda hilo, na nitarusha vipindi maalum vya banda hilo ndani ya Nane Nane na PPR.
Leo Waziri Mkuu ametembelea banda la Tume, Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva, Makamisha Mary Longway na Athina Omari, pamoja na msimamizi mbobezi, Spora Liana, watazungumzia uchaguzi uliopita.
Usikose kuangalia mfululizo wa vipindi vya Tume ya Uchaguzi kwenye Maonyesho ya Nane Nane, kipindi cha kwanza kinaanza leo saa 1:00-1:30 Star TV.
Kesho ni Channel Ten, keshokutwa ITV kisha TBC.
Karibuni msikie na kushuhudia jinsi ambavyo huwezi kudanganya matokeo ya uchaguzi wa rais, hivyo msidanganywe na viongozi wa vyama vya siasa kuhusu bao la mkono kwenye matokeo ya urais!, hakuna kitu kama hicho!.
Paskali
UPDATE.
Kwa ambao hawakukiona kipindi hiki kiliporushwa kwa mara ya kwanza, leo na kesho, kuna fursa ya kuangalia marudio.
Leo Ijumaa, 05/08/2016, kipindi kitarudiwa Channel Ten, saa 2:30 usiku huu.
Kesho Jumamosi, 06/08/2016, kipindi kitarudiwa ITV saa 12:30 jioni!.
Wewe kama mwana jf, be the first to know!.
Paskali
Mkuu tindo, kuona ni kuamini, unaweza kuangalia hiyo program na kuona jinsi uchaguzi unavyoendeshwa, na NEC japo sio Shirikishi lakini ni Tume Huru!. Kitu ambacho ni ukweli wa wazi, hakuna uchaguzi wowote very smooth, hata wa Marekani, dosari ndogo ndogo ni kitu cha kawaida, lakini dosari hizo, sio za kuathiri matokeo ya jumla ya uchaguzi. Tuambizane tuu ukweli, Tanzania kuna upinzani wowote wa maana wa kushindanisha na CCM?. Kwa track record ya JPM, kuna mtu wa kushindana nae akamshinda?.Mleta uzi ina maana unasubiri mpaka tume itoe ufafanuzi ndio ujue kuwa sio huru? Kwa mtu yoyote mwenye akili timamu anajua tume hii sio huru, haya yanayotokea ni kusaidia wale wazito wa kuamini kuwa tume sio huru.
Kwa kifupi kwny matukio makubwa kama uchaguzi popote duniani huwa kunatokea changamoto ndogo ndogo.Mkuu tindo, kuona ni kuamini, unaweza kuangalia hiyo program na kuona jinsi uchaguzi unavyoendeshwa, na NEC japo sio Shirikishi lakini ni Tume Huru!. Kitu ambacho ni ukweli wa wazi, hakuna uchaguzi wowote very smooth, hata wa Marekani, dosari ndogo ndogo ni kitu cha kawaida, lakini dosari hizo, sio za kuathiri matokeo ya jumla ya uchaguzi. Tuambizane tuu ukweli, Tanzania kuna upinzani wowote wa maana wa kushindanisha na CCM?. Kwa track record ya JPM, kuna mtu wa kushindana nae akamshinda?.
P.
Huyu njaa hana lolote mpuuziMwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa CHADEMA , Freeman Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source: Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Sasa kama ana record nzuri mbona hataki tume huru wala katiba mpya? acheni drama za kipuuzi watu wanatekwa na kuuliwa wewe unashangilia, umaskini isiwe chanzo cha kukosa akili huku tukitafuta teuzi za kijinga.Mkuu tindo, kuona ni kuamini, unaweza kuangalia hiyo program na kuona jinsi uchaguzi unavyoendeshwa, na NEC japo sio Shirikishi lakini ni Tume Huru!. Kitu ambacho ni ukweli wa wazi, hakuna uchaguzi wowote very smooth, hata wa Marekani, dosari ndogo ndogo ni kitu cha kawaida, lakini dosari hizo, sio za kuathiri matokeo ya jumla ya uchaguzi. Tuambizane tuu ukweli, Tanzania kuna upinzani wowote wa maana wa kushindanisha na CCM?. Kwa track record ya JPM, kuna mtu wa kushindana nae akamshinda?.
P.
Huyo ni mwanasheria nguli wa undumilakuwili,hajawahi shida hata kesi ya mtu kaiba kuku.Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa CHADEMA , Freeman Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source: Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Nileteeni Mayalla, Nileteeni Mayallaaa, Nileteeni Mayallaaaaaaaaaaaa....Kweli kabisa Both NEC and ZEC ni huru kabisa. We see as the years go by the opposition are getting worse. The percentages keep dropping in the results, so these two organizations must be doing a very good job of being free and fair. Hongera kwao.
P.Mkuu wakurochi , nimedanganya wapi?.
P
Mkuu ZZK, Zitto , pokea baadhi ya nondo, zipime, mkiona zina sifa, zijumuishe katika maazimio ya kikao chenu cha TCD, leo yanayokabidhiwa Kwa kile kikosi kazi, yatue mezani Kwa Mama, ili sheria zifanyiwe mabadiliko kabla ya uchaguzi wa 2025.Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa CHADEMA , Freeman Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source: Star tv
Maendeleo hayana vyama!
teuzi zilimkosa hadi jamaa kaenda ahera....aendelee kubeti beti itaweza jibuMwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa CHADEMA , Freeman Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source: Star tv
Maendeleo hayana vyama!
UjingaMkuu ZZK, Zitto , pokea baadhi ya nondo, zipime, mkiona zina sifa, zijumuishe katika maazimio ya kikao chenu cha TCD, leo yanayokabidhiwa Kwa kile kikosi kazi, yatue mezani Kwa Mama, ili sheria zifanyiwe mabadiliko kabla ya uchaguzi wa 2025.
NEC ni Tume huru, ifanywe tuu kuwa shirikishi.
Waliosusa waacheni wasuse, maana kama awamu ya 5, la katiba lilikuwepo kwenye ilani ya CCM, na hatukumlazinisha JPM kubadili katiba, sasa la katiba halimo kwenye ilani ya Samia, hivyo kumshiza au kumlazimisha Samia kukamilisha mchakato wa katiba mpya ni kumuonea!. Tunaweza kubadili baadhi ya sheria kandamizi na kuvibadili baadhi ya vipengele kandamizi vya katiba iliyopo, kuwezesha uchaguzi wa 2025, kuwa ni uchaguzi huru na wa haki, halafu mchakato wa katiba mpya ukaendelea, Kwa nafasi baada ya 2025.
Paskali
Mkuu Yohane Mbatizaji, hoja yangu hii inaendelea kuunga mkono
Mkuu Mhe. Mwigulu Nchemba, asante sana kulizungumzia hili la Tume huru ya uchaguzi.
Tupo pia tuliolizungumza sana lakini Watanzania wanahitaji kuelimishwa kikamilifu kuhusu hili ili lieleweke vizuri, na hata Watanzania wenyewe kwa ridhaa zao na kwa ujumla wao, kwenye uchaguzi wa October, waki amua kuichagua CCM tuu and only CCM katika uchaguzi Mkuu huru na wa haki na bila waangalizi wowote kutoka nje, hivyo CCM ndio pekee ikachaguliwa naomba tuu watuelewe.
Hili la Tume huru tumelijadili sana humu
Pascal Mayalla: NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama lilivyo bunge na mahakama kwa sababu vyote hivi msingi wake ni Rais
TV Prog. Alert: Tume ya Uchaguzi, NEC, Yajibu Hoja za JF Kuhusu Uchaguzi Huru na Wa Haki!
Kailima Ramadhan: Uchaguzi 2015 ulikuwa huru na wa haki, CHADEMA imeshindwa kihalali! Hakuna upendeleo kwa CCM, NEC ni Tume huru
Japo umegharimiwa kwa machozi, jasho na damu, ulikuwa huru na wa haki!. Hongera CCM, CHADEMA poleni!. Mungu saidia Tz
TV Program Alert: Msidanywe na Wanasiasa Kuhusu Uchaguzi Mkuu: Ulikuwa Huru na wa Haki!. Shuhudia!
Ila naomba siku ukipata muda au nafasi, urejee kwenye bandiko lako hili,
Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020
Kuna swali hujalijibu ila pia you are free kutoyajibu depending on how busy you are.
P
Tatizo la Tume yetu ya uchaguzi ni tume huru ila ilikuwa sio shirikishi!, kwenye muswada huu bado sijauona huo ushirikishi, hivyo huu ni mvinyo ule ule wa zamani ila kwenye chupa mpya!.sasa ulisifia nini Pascal? CCM hawawezi kuachia nchi kwa uchaguzi..........nilijua na nimetoa harsh comment kwako maana kwa level yako unajua fika kuwa ccm haiwezi kuleta tume huru maana wanajua ikiwepo wanaondoka....
Mtapiga kura wenyeweTatizo la Tume yetu ya uchaguzi ni tume huru ila ilikuwa sio shirikishi!, kwenye muswada huu bado sijauona huo ushirikishi, hivyo huu ni mvinyo ule ule wa zamani ila kwenye chopa mpya!.
P