johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ana mtindio wa ubongoKwanini kila wakati Ndugai hupenda kujimwambafai?
Spika anayotaarifa rasmi kwamba yupo wapi.Mkono ni mwaka 3 huu hayupo bungeni
Kama Trump kakimbia mkutano na waandishi... Nadhani huyo unayemsema anaweza kuwatia ndani waandishi wote watakaohudhuria mkutano...Mimi kama hawa waandishi wangeweza kuomba kuonana na Rais wa nchi kufanya naye mazungumzo kulieleza taifa nini sababu ya yeye kuwa nje ya makazi Rasmi kwa zaidi ya mwezi mmoja na nusu?
Nimejaribu kupitia na ninaendelea kufahamu kama yupo mwingine duniani amewahi kufanya hivyo na sababu ni nini ya kufanya hivyo.
Waandishi kuomba kuzungumza na Rais sio jambo baya wala la ajabu.
Ni bora waombe wetu, wakishindwa tutawaomba wa BBC International, DW au Aljazera waombe wao. Na kwa kawaida wao wakikataliwa nayo ni habari pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
ile ni inferiority complex mkuu, kumbuka tayari Ndu.guy ni dhaifu!.Kwanini kila wakati Ndugai hupenda kujimwambafai?
Mwambe ndio tatizo kwa sababu amepungukiwa uadilifu.Awe mwanasheria mbobezi asiyefungamana na upande wowote. Japokuwa mimi naunga mkono maamuzi ya spika. Maana kama kulikuwa hakuna formal writen statement kuwa Mwambe amejiudhuru basi spika yuko sawa.
Ile ya Trump kali.Kama Trump kakimbia mkutano na waandishi... Nadhani huyo unayemsema anaweza kuwatia ndani waandishi wote watakaohudhuria mkutano...
Yohana hata kama ni wewe bado wiki mbili uvute mil 250 utaandika hiyo barua? Na jimbo lipo vacant!Mwambe ndio tatizo kwa sababu amepungukiwa uadilifu.
Ndugai hana tatizo lolote na amemwambia kabisa Cecil Mwambe kama kweli amehamia CCM aandike barua ya kujiuzulu ubunge, Mwambe amesita!
Johny mbona kama siku hizi unajaribu kutengana na wajina wako JJ Pombe??Ile ya Trump kali.
Wale ndio waandishi wa habari bhana......kademu ka kihindi kamemtoa kamasi Trump hadi akatoka baruti!
Hahahaaaa....... Bwashee nikiandika barua migombani watanicheka sana!Yohana hata kama ni wewe bado wiki mbili uvute mil 250 utaandika hiyo barua? Na jimbo lipo vacant!
Cecil Mwambe ndio " Habari " ya mjini kwa sasa....... Naamini wanataaluma Pascal na Dotto wamenielewa!Kile kipindi ni Jicho letu ndani ya Vyombo vya habari, sasa wewe unataka waanza kujadili siasa za Mwambe Ndugai.
Huko ndo kukosa uadilifuYohana hata kama ni wewe bado wiki mbili uvute mil 250 utaandika hiyo barua? Na jimbo lipo vacant!