Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,563
- 4,227
Hahahahaaaa..Yohana hata kama ni wewe bado wiki mbili uvute mil 250 utaandika hiyo barua? Na jimbo lipo vacant!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaaa..Yohana hata kama ni wewe bado wiki mbili uvute mil 250 utaandika hiyo barua? Na jimbo lipo vacant!
Mkuu kama umeshindwa kuelewa facts zilizotolewa kwenye posts mbalimbali humu hata jumamosi wakimwalika Malaika hutoelewa na hutokubali.Naelewa kuwa wewe Pascal na mwenzio Dotto ni members humu na mmekuwa mkilipa umuhimu wa juu hili jukwaa katika kipindi chenu cha Jicho letu ndani ya habari.
Nakumbuka hata juzi ulimuuliza waziri wa habari mh Mwakyembe juu ya misukosuko ya kimahakama anayokumbana nayo mkurugenzi wa Jf mh Max.
Nikuombe tu kama kuna uwezekano kipindi kijacho tuletee ama wanasheria wabobezi au wanasiasa /wanahabari nguli watudadavulie hii sintofahamu ya ubunge wa Cecil Mwambe na ikiwezekana hata uhalali wa mbunge Nimrod Mkono ambaye hajaonekana bungeni kwa muda mrefu sana.
Mungu awabariki sana
Maendeleo hayana vyama!
Wale Wabunge wa Cuf Waliandika barua..Mwambe ndio tatizo kwa sababu amepungukiwa uadilifu.
Ndugai hana tatizo lolote na amemwambia kabisa Cecil Mwambe kama kweli amehamia CCM aandike barua ya kujiuzulu ubunge, Mwambe amesita!
Hakika bwashee!Huko ndo kukosa uadilifu
c.c johnthebaptistAdvocates. Mkono & Co Advocates was founded in 1977 by the Firm's Managing Partner, Honourable Nimrod E. Mkono and remains the leading transactional law practice in Tanzania and East Africa. Mkono & Co. Advocates , Commonwealth Governance Partner