Pascal Mayalla tafadhali Jumamosi tuletee wataalamu wa sheria tujadili "Uhalali" wa ubunge wa Cecil Mwambe na Nimrod Mkono

Pascal Mayalla tafadhali Jumamosi tuletee wataalamu wa sheria tujadili "Uhalali" wa ubunge wa Cecil Mwambe na Nimrod Mkono

Naelewa kuwa wewe Pascal na mwenzio Dotto ni members humu na mmekuwa mkilipa umuhimu wa juu hili jukwaa katika kipindi chenu cha Jicho letu ndani ya habari.
Nakumbuka hata juzi ulimuuliza waziri wa habari mh Mwakyembe juu ya misukosuko ya kimahakama anayokumbana nayo mkurugenzi wa Jf mh Max.

Nikuombe tu kama kuna uwezekano kipindi kijacho tuletee ama wanasheria wabobezi au wanasiasa /wanahabari nguli watudadavulie hii sintofahamu ya ubunge wa Cecil Mwambe na ikiwezekana hata uhalali wa mbunge Nimrod Mkono ambaye hajaonekana bungeni kwa muda mrefu sana.

Mungu awabariki sana

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu kama umeshindwa kuelewa facts zilizotolewa kwenye posts mbalimbali humu hata jumamosi wakimwalika Malaika hutoelewa na hutokubali.
 
May 15, 2020
Dodoma, Tanzania

Spika Job Ndugai - Nimrod Mkono ni mgonjwa muda mrefu

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano la Tanzania, Mh. Job Ndungai, amesema bungeni kuwa mbunge na mwanasheria nguli Mzee Nimrod Elireheema Mkono ni mgonjwa kwa kipindi kirefu sana na ndiyo maana hajaonekana akihudhuria vikao vya Bunge kwa muda mrefu.



Source : ABC Habari
Nimrod Mkono

NIMROD MKONO

Tanzanian Member of Parliament
Advocates. Mkono & Co Advocates was founded in 1977 by the Firm's Managing Partner, Honourable Nimrod E. Mkono and remains the leading transactional law practice in Tanzania and East Africa. Mkono & Co. Advocates , Commonwealth Governance Partner
c.c johnthebaptist
 
Back
Top Bottom