christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Duuuuh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu ni unajijua mwenyewe ukoje from deep inside, na sio watu wanakuonaje!. Mimi ndio Pasco mwenyewe, ninakuambia hapa, sijabadilika, mimi ni yule yule, juzi, jana na leo, ila be free to assume anything.
P
Atimae Pascal Mayalla amezaliwa upya!Hii ni yesterdays news!.
P![]()
Ubunge wa Bashiru Ali, wachambuzi wanasemaje? – DW – 01.04.2021
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge. Je, wachambuzi wanazungumzia vipi hatua hii? Msikilize mchambuzi wa siasa za Tanzania, Pascal Mayalla akichambua kwa kina...p.dw.com
Halafu amegeuka siku chache baada ya mabadiliko ya uongozi wa nchi. Ni bora angegeuka wakati mwendazake yu hai, ingeleta maana kidogo.Hakuna assumptions mkuu kikutokacho mdomoni ndio wewe sasa hii nchi ikiwa na watu vigeu geu kama wewe tutafika kweli alafu huoni aibu kusema unavyosema ? hivi hizi shule mnadomaga zinawasaidia nini kama mtu huwez simama na jambo lako moja ulilosema.
Haiwezekani Pasakali,Jana ulimshabikia Magufuli kwa Udikteta na Uimla leo Mh.Samia anarejesha mifumo ya Kidemokrasia unashabikia !Mtu ni unajijua mwenyewe ukoje from deep inside, na sio watu wanakuonaje!. Mimi ndio Pasco mwenyewe, ninakuambia hapa, sijabadilika, mimi ni yule yule, juzi, jana na leo, ila be free to assume anything.
P
Pascal amebadilika once again
Maisha yanaenda kasi sana
Yule mama wa mahakama ya Kenya aliyegombea nafasi na watu wengine kadhaa halafu akashinda ile nafasi, huku kwetu nafasi ile inapatikanaje? Nijifunze tafadhali.Pascal Mayalla, mifumo haijengwi kwa kuteua na kuweka watu wenye professionalism ktk nafasi zao stahiki kama akina Mulamula. .Bali hujengwa kwa kuweka sheria, kanuni na taratibu madhubuti zitakazopelekea kujengeka kwa nguvu ya kitaasisi.
Huyu mama binafsi nitamkubali endapo atabadilisha katiba ili kupunguza mamlaka ya rais ya kuteua karibu kila mkuu wa taasisi, idara, mashirika na vyombo vya ulinzi na usalama. Hapa ndiyo panaharibu mifumo ya utendaji kazi.
Watu wanafika mahala wanatumikia vyeo kinyume na matakwa ya elimu zao ili kumfurahisha aliyewateua.
Bila katiba mpya hakuna mifumo ya kiuongozi atakayojenga mama SSH.
We nawe umekaririNakubaliana na mchambuzi 100% kwa Bashiru, but what has Mulamula done?
Just another hopeless human being winnning public support based on her qualifications but useless professional.
What has Mulamula done, kuna namna tumejifunza ya kupambana na US politics or influence in Tanzania kwa ushauri wake.
How best to attract US investors in Tanzania based on her advice?
How to influence our policies in US government for the benefit of Tanzania?
Mulamula is just another useless diplomat.
Mama ni mropokaji na anapenda kusifia vitu without merit.Huyo Mama si ana miezi miwili tu kaka ofisini? How can we judge her now?
Huna huo uwezo fala wewe wa kuongea na mimi kwenye hoja. Try me?We nawe umekariri
Talk of " flexibility ".Hakuna assumptions mkuu kikutokacho mdomoni ndio wewe sasa hii nchi ikiwa na watu vigeu geu kama wewe tutafika kweli alafu huoni aibu kusema unavyosema ? hivi hizi shule mnadomaga zinawasaidia nini kama mtu huwez simama na jambo lako moja ulilosema.
Kule Kenya, watu wanaapppy kwa Judicial Service Council, na kuwa interviewed publically na kuwa vetted, baadae majina waliopata scores za juu yanapendekezwa kwa Rais kwa uteuzi wa mwisho... huko Tz vyeo vingi ni matakwa ya Rais au Chama...Yule mama wa mahakama ya Kenya aliyegombea nafasi na watu wengine kadhaa halafu akashinda ile nafasi, huku kwetu nafasi ile inapatikanaje? Nijifunze tafadhali.
Daah Pascal Mayalla ameniangusha halafu kachanganya mambo hitimisho kumuhusu bashiru ni upeo mdogo sana, baadhi ya maswali kama humjui mtu usijibu. Kila la kheri Kaka Pascal katika nyakati za kutumika na kuishi unafiki. You have been very unfair journalist with your mouth on Dr.Bashiru Ally. Huna hadhi ya kuzungumza kwa umizania kuhusu Bashiru na unajua unaongea kwa faida zako wewe na waliokutuma. Bashiru ni Mtumishi wa umma pale UDSM rekebisha hilo kuwa KMK ni appropriate kwa taaluma yake na kwa umri wake.Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge.
Je, wachambuzi wanazungumzia vipi hatua hii?
Msikilize mchambuzi wa siasa za Tanzania, Pascal Mayalla akichambua kwa kina kuhusiana na kile kinachoonekana kama anguko la msomi huyo.
View attachment 1817783
Sidhani kama kuna haja ya kujimwambafai mzee, umeanza vizuri but unamaliza hovyo na "try me" and "distoy". Huyo Mulamula apewe muda, akichemka ataondolewa, Sidhani kama Samia ni mtu anayeweza kukaa na mteule goigoi. Kwa muda mfupi kaonesha naye ana guts (Rejea suala la Sabaya, chalamila, Kakoko na watu wachache ambao ameshawaondoa hadi wakati huu). Tangu achukue nchi sijaona bado mteule wake anayepiga maboko waziwazi naye anamchekea. Let's wait and see.Mama ni mropokaji na anapenda kusifia vitu without merit.
Kila akiongea anataka kutuaminisha balozi Mulamula is a real deal; wakati hakuna link yoyote ya wizara ya mambo ya nje inayoweza msaidia mtanzania kufanya biashara US.
Swali jepesi tu what does US needs to import from or what have we learned from Mulamula in us import that we can benefit from.
She is just a pathetic old woman without any contribution to the nation aliekuwa anadhinda na wapuuzi kama miss Temeke and the nonsense that goes with it.
I have grown try me and I will distoy you.
Pascal ni mnafiki wa kufa MTU. Ni mfano halisi wa wana CCMRais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge.
Je, wachambuzi wanazungumzia vipi hatua hii?
Msikilize mchambuzi wa siasa za Tanzania, Pascal Mayalla akichambua kwa kina kuhusiana na kile kinachoonekana kama anguko la msomi huyo.
View attachment 1817783