Pascal Mayalla: Tanzania sasa inajenga Mifumo na sio kujenga watu kama enzi za Hayati Magufuli

Pascal Mayalla: Tanzania sasa inajenga Mifumo na sio kujenga watu kama enzi za Hayati Magufuli

Raisi ni taasisi sio mtu mmoja, raisi kama kiongozi wa taasisi anatakiwa kuwa na agenda yake ambayo wasaidizi wanatakiwa kumwelekeza njia sahihi ya kutimiza agenda zake kwa njia sahihi...
Kipindi cha jiwe huyo kabudi alitusaidiaje kupenetrate kwenye hizo international market zaidi ya kwenda Madagascar na kutuletea ule urojo na kutuaminisha ni dawa ya covid. Pathetic

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Nakubaliana na mchambuzi 100% kwa Bashiru, but what has Mulamula done?

Just another hopeless human being winnning public support based on her qualifications but useless professional..
Huyu mulamula ana CV kubwa Ila hata kusoma hotuba ilikuwa Ina mshinda pamoja na pronunciation zisizoeleweka
 
Kipindi cha jiwe huyo kabudi alitusaidiaje kupenetrate kwenye hizo international market zaidi ya kwenda Madagascar na kutuletea ule urojo na kutuaminisha ni dawa ya covid. Pathetic

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Well at least he wasn’t called a seasoned diplomat as you want us to call Mulamula she is just average.
 
Huyu mulamula ana CV kubwa Ila hata kusoma hotuba ilikuwa Ina mshinda pamoja na pronunciation zisizoeleweka
I agree with you ili ndio tatizo letu tunapenda kukuza watu sana based on their academic achievements wakati hatujui hata grades zao and so forth; wakati watu wenyewe ukiwasikiliza au ukiwafanyia performance appraisal hakuna results.

Mulamula is just an average diplomat, tofauti anavyotaka kukuzwa; Yericko is more security conscious kuliko yeye.
 
Mtu ni unajijua mwenyewe ukoje from deep inside yourself na sio watu wanakuonaje!. Mimi ndio Pasco mwenyewe, ninakuambia hapa, sijabadilika, mimi ni yule yule, juzi, jana na leo, ila be free to assume anything.
P
Mheshimiwa Pascal
Inawezekana kweli wewe unajijua mwenyewe, sisi wengine tusokufahamu hata sura tunakujua kutokana na mabandiko yako hapa. Mabandiko yako mengi yanaonesha wewe ni mtu mwenye uelewa mzuri wa utawala wa nchi yetu, lakini kama hili ni kweli ndio maana watu wanakuwa na wasiwasi kuwa unapaka mafuta kwa mgongo wa chupa, ukitarajia kupata mnofu.

Rais Samia amekuwepo madarakani kwa miezi minne tu, unaweza kutwambia kwa akili yako timamu amefanya nini tofauti sana na JPM? Ni nini amekifanya kujenga mfumo ambacho tunaweza kusema kweli kwa hiki na kile na kile, Mh, Samia yuko tofauti na JPM.

Kimebadilika nini KIMSINGI kinachoweza kuonyesha tofauti, na ni mfumo gani uliobadilika? Kimsingi naona kanuni za uongozi, miiko ya uongozi, mifumo ya uongozi iliyochini ya Rais Samia, ni ile ile iliyokuwa wakati wa JPM. Hakuna chombo chochote ambacho kimebadilisha sheria, kanuni au miiko.

Kama ni kweli unasema Rais Samia anabadilisha kitu fulani, labda kwa maana ya uteuzi inawezekana kuwa uko sahihi.
I may be wrong
 
Hii ni yesterdays news!

P
Bashiru ni dikteta ambaye amejificha kwenye kivuli Cha ujamaa, asiyeamin kwenye mfumo wa siasa huru aliongoza juhudi za kununua wabunge wa upinzani na uharamia mbaya wa uchaguzi 2020 mbao haujawahi tokea
 
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge.

Je, wachambuzi wanazungumzia vipi hatua hii?

Msikilize mchambuzi wa siasa za Tanzania, Pascal Mayalla akichambua kwa kina kuhusiana na kile kinachoonekana kama anguko la msomi huyo.
View attachment 1817783
Ugonjwa WA tumbo njaa ni mbaya zaidi Julio covid 19
 
Mtu ni unajijua mwenyewe ukoje from deep inside yourself na sio watu wanakuonaje! Mimi ndio Pasco mwenyewe, ninakuambia hapa, sijabadilika, mimi ni yule yule, juzi, jana na leo, ila be free to assume anything.

una uwezo wa kujijua lakini si kujiona waliokuzunguka ndo wanakuona kuwa usoni una tongotongo
 
Back
Top Bottom