Pascal Mayalla: Tanzania sasa inajenga Mifumo na sio kujenga watu kama enzi za Hayati Magufuli

Pascal Mayalla: Tanzania sasa inajenga Mifumo na sio kujenga watu kama enzi za Hayati Magufuli

Sijabadilika popote wala chochote, Pasco ni yule yule, juzi, jana na leo.
P
Umebadilika..kwan uongo.!! Wakati jpm ameingia ulionekana kutokubaliana na sera zake za vyombo vya habari..ila baada ya kutafsiri jina lako kwa kisukuma kwamba mana yake ni njaa.

Ukabadili mwelekeo kulingana na jina lako, ukaanza kuimba mapambio ya sifa na kuabudu..baada ya kuondoka kwakee umeibuka tena na upepo wa kusi..umeanza kuganga kama lilivyo jina lako..sometimes you need to your own belief and stand firmly bro!! You compromised yourself.
 
Sidhani kama kuna haja ya kujimwambafai mzee, umeanza vizuri but unamaliza hovyo na "try me" and "distoy". Huyo Mulamula apewe muda, akichemka ataondolewa, Sidhani kama Samia ni mtu anayeweza kukaa na mteule goigoi. Kwa muda mfupi kaonesha naye ana guts (Rejea suala la Sabaya, chalamila, Kakoko na watu wachache ambao ameshawaondoa hadi wakati huu). Tangu achukue nchi sijaona bado mteule wake anayepiga maboko waziwazi naye anamchekea. Let's wait and see.
Raisi ni taasisi sio mtu mmoja, raisi kama kiongozi wa taasisi anatakiwa kuwa na agenda yake ambayo wasaidizi wanatakiwa kumwelekeza njia sahihi ya kutimiza agenda zake kwa njia sahihi.

Hizo ndio sababu raisi anachagua wasaidizi ambao anadhani watamfaa kutokana na mitazamo yao na agenda zake.

Now turudi kwa Mulamula anatakiwa kumpa ushauri wa international relationship; embu onyesha link ya wizara ya mambo ya nje yenye kuelezea how to penetrate any international market.

Let alone security issues, ukiniweka mimi na Nchimbi, Dr Slaa; heck hata ukiwaweka hao watu na Yericko Nyerere wamshauri mama kuhusu National security and Tanzania interest in their post we would fair better than those idiots at least we read.

Mulamula hana huo uwezo
 
Nakubaliana na mchambuzi 100% kwa Bashiru, but what has Mulamula done?

Just another hopeless human being winnning public support based on her qualifications but useless professional...
We una chuki binafsi na Na balozi Mulamula itakuwa,
 
We una chuki binafsi na Na balozi Mulamula itakuwa,
What has she done?

Ebu elezea her achievement for Tanzania whilst holding the post.

Nazungumzia biashara as far as her intelligence role goes she is just an idiot like others wanaopanda tu wizarani without the wit.

Or else show me Mulamula achievements in US.
 
Acha choyo na wivu. Muache waziri wetu afanye kazi yake
Mweh but don’t give her the credits she doesn’t deserve; nina uhakika Yericko Nyerere has more depth on security rationale kuliko Mulamula.

Tuache hizi tabia za kutukuza vilaza kisa degree ambazo kuna watu wanaweza kubetua hizo thesis with pay easily.

Ni Sawa na kusema Ndalichako ni Phd wakati ata ukimsikiliza she doesn’t sound like one. I don’t care if her Doctorate is from Canada Ndalichako ni mtu ovyo na hana uwezo kwa kauli tu she doesn’t sound educated.

Ndalichako supposedly she has a mathetic degree; wakati mimi nina uhakika Ndalichako under supervision apati A kwenye level 3 ya maths and physics. Hana huo uwezo kwa kumsikiliza tu it just doesn’t add up. Hizi degree hawa watu wameunga unga tu.

Eti Ndalichako a mathematician kweli yule unaweza mpa aidavuvue Einstein theory relativity I don’t think so (believe or not Dr Dorothy Gwajima would fair better).
 
Mtu ni unajijua mwenyewe ukoje from deep inside, na sio watu wanakuonaje!. Mimi ndio Pasco mwenyewe, ninakuambia hapa, sijabadilika, mimi ni yule yule, juzi, jana na leo, ila be free to assume anything.
P

Seems huelewi unachotaka kutuelewesha. Binadamu yoyote kuna namna anajifahamu, kuna namna anafahamika na jamii na mwisho kuna namna anafahamika na Mungu.

Unavyojijua ww ndio hivyo unavyoamini, ila sisi jamii tuna namna yetu tunavyokujua, na kama kuna Mungu kuna namna na yeye anakujua. Hizi mbili za mwisho ziko nje ya uwezo wako.
 
Raisi ni taasisi sio mtu mmoja, raisi kama kiongozi wa taasisi anatakiwa kuwa na agenda yake ambayo wasaidizi wanatakiwa kumwelekeza njia sahihi ya kutimiza agenda zake kwa njia sahihi..
Hayo ni maoni yako, ila system haifanyi kazi kama unavyofikiria wewe, kwamba kila mpiga kelele anafaa kupewa cheo flani. Naamini hilo suala la Yericko you are just joking.
 
Mtu ni unajijua mwenyewe ukoje from deep inside yourself na sio watu wanakuonaje!. Mimi ndio Pasco mwenyewe, ninakuambia hapa, sijabadilika, mimi ni yule yule, juzi, jana na leo, ila be free to assume anything.
P
Vile vi Uzi vyako vya kumsifia jiwe hata katika mambo ya kipuuzi umeacha labda kwa sababu hayupo

Na kuna kipindi ulitaka kuaminisha umma kwamba makonda ndiye anastahili kuongoza nchi badala ya magufuli

Kweli ulipagawa

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Hayo ni maoni yako, ila system haifanyi kazi kama unavyofikiria wewe, kwamba kila mpiga kelele anafaa kupewa cheo flani. Naamini hilo suala la Yericko you are just joking.
Yericko has depth kushinda Mulamula that’s a fact.

Nimeweka link hapo ya nchi moja ya mabeberu wakitaka kuja kuwekeza Tanzania na ushauri wanaowapa watu wao kususu PESTELE za Tanzania and so forth.

Embu weka link kutoka foreign office ya Tanzania inayoelezea PESTEL ya nchi yoyote hata ya Kenya tu; let alone US.

Hapo hatujazungumzia the likes of accountancy firms wanavyoshauri wawekezaji wao kwenye maswala ya kodi.

You do know kila speech ya waziri wa fedha in relation to budget inabadiri utaratibu wa kodi kwa namna fulani ambapo international firm can interpret better kushinda wizara ya fedha wanaoandaa hayo mambo bila kuelewa implications zake ndio maana tunapigwa kwenye kodi.
 
Nikiwaambia Bwana Paskalj Ni mpuuzi muwe mnaelewa[emoji116]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom