Pascal Mayalla: Tanzania sasa inajenga Mifumo na sio kujenga watu kama enzi za Hayati Magufuli

Eti unajijua mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 una akili sawa sawa wewe mropokaji? JIONGEZE acha kujikomba komba.
Mtu ni unajijua mwenyewe ukoje from deep inside, na sio watu wanakuonaje!. Mimi ndio Pasco mwenyewe, ninakuambia hapa, sijabadilika, mimi ni yule yule, juzi, jana na leo, ila be free to assume anything.
P
 
Pascal Mayala: Samia anatengeneza mifumo imara anaturudisha kwenye professionalism tofauti na kipindi ambacho mtu yeyote anawekwa popote (Akimaanisha kipindi cha Marehemu Magufuli)

Pascal Mayala mwishoni mwa audio: Magufuli na Dr. Bashiru walikua wanatengeneza SYSTEM safi.

Mimi: !!!??
 
Hakuna assumptions mkuu kikutokacho mdomoni ndio wewe sasa hii nchi ikiwa na watu vigeu geu kama wewe tutafika kweli alafu huoni aibu kusema unavyosema ? hivi hizi shule mnadomaga zinawasaidia nini kama mtu huwez simama na jambo lako moja ulilosema.
Halafu amegeuka siku chache baada ya mabadiliko ya uongozi wa nchi. Ni bora angegeuka wakati mwendazake yu hai, ingeleta maana kidogo.
 
Mtu ni unajijua mwenyewe ukoje from deep inside, na sio watu wanakuonaje!. Mimi ndio Pasco mwenyewe, ninakuambia hapa, sijabadilika, mimi ni yule yule, juzi, jana na leo, ila be free to assume anything.
P
Haiwezekani Pasakali,Jana ulimshabikia Magufuli kwa Udikteta na Uimla leo Mh.Samia anarejesha mifumo ya Kidemokrasia unashabikia !
Huna unachokiamini ...kwa Lugha unaongozwa na moyo wako...ambao kwa dalili hizi ..unahusudu,wivu,matamanio,tamaa nk!
Hivi Kinyamwezi ...Nyani haoni kundule ...tunasemaje!
 
Yule mama wa mahakama ya Kenya aliyegombea nafasi na watu wengine kadhaa halafu akashinda ile nafasi, huku kwetu nafasi ile inapatikanaje? Nijifunze tafadhali.
 
We nawe umekariri
 
Huyo Mama si ana miezi miwili tu kaka ofisini? How can we judge her now?
Mama ni mropokaji na anapenda kusifia vitu without merit.

Kila akiongea anataka kutuaminisha balozi Mulamula is a real deal; wakati hakuna link yoyote ya wizara ya mambo ya nje inayoweza msaidia mtanzania kufanya biashara US.

Swali jepesi tu what does US needs to import from or what have we learned from Mulamula in us import that we can benefit from.

She is just a pathetic old woman without any contribution to the nation aliekuwa anadhinda na wapuuzi kama miss Temeke and the nonsense that goes with it.

I have grown try me and I will distoy you.
 
Hakuna assumptions mkuu kikutokacho mdomoni ndio wewe sasa hii nchi ikiwa na watu vigeu geu kama wewe tutafika kweli alafu huoni aibu kusema unavyosema ? hivi hizi shule mnadomaga zinawasaidia nini kama mtu huwez simama na jambo lako moja ulilosema.
Talk of " flexibility ".
Kuwa flexible thinker sio kuwa kigeugeu
 

Kuna projects and funds hapa kwa sisi wajuzi tukuzitaka tunazipata.

Nikitaka kufanya biashara Tanzania wizara ya mambo ya nje UK wananiandaa kwa mambo kadhaa ya kisera, siasa, financial planning and so forth. Na hii ni kazi ya ubalozi wao.

What has Mulamula done? That’s just business easy hakuweeza security issues pamoja na exposure zake mtu kama mimi siwezi hata kuongea nae she just wont have the answers.

You people need smart diasporas huo ndio ukweli wenyewe, you just don’t have.

To hell I don’t care hamna uwezo.
 
Yule mama wa mahakama ya Kenya aliyegombea nafasi na watu wengine kadhaa halafu akashinda ile nafasi, huku kwetu nafasi ile inapatikanaje? Nijifunze tafadhali.
Kule Kenya, watu wanaapppy kwa Judicial Service Council, na kuwa interviewed publically na kuwa vetted, baadae majina waliopata scores za juu yanapendekezwa kwa Rais kwa uteuzi wa mwisho... huko Tz vyeo vingi ni matakwa ya Rais au Chama...
 
Daah Pascal Mayalla ameniangusha halafu kachanganya mambo hitimisho kumuhusu bashiru ni upeo mdogo sana, baadhi ya maswali kama humjui mtu usijibu. Kila la kheri Kaka Pascal katika nyakati za kutumika na kuishi unafiki. You have been very unfair journalist with your mouth on Dr.Bashiru Ally. Huna hadhi ya kuzungumza kwa umizania kuhusu Bashiru na unajua unaongea kwa faida zako wewe na waliokutuma. Bashiru ni Mtumishi wa umma pale UDSM rekebisha hilo kuwa KMK ni appropriate kwa taaluma yake na kwa umri wake.
 
Sidhani kama kuna haja ya kujimwambafai mzee, umeanza vizuri but unamaliza hovyo na "try me" and "distoy". Huyo Mulamula apewe muda, akichemka ataondolewa, Sidhani kama Samia ni mtu anayeweza kukaa na mteule goigoi. Kwa muda mfupi kaonesha naye ana guts (Rejea suala la Sabaya, chalamila, Kakoko na watu wachache ambao ameshawaondoa hadi wakati huu). Tangu achukue nchi sijaona bado mteule wake anayepiga maboko waziwazi naye anamchekea. Let's wait and see.
 
Inchi strong ni mifumo na taasisi sio mtu.....kosa ni kumsukumizia bila kuandaliwa system
 
Pascal ni mnafiki wa kufa MTU. Ni mfano halisi wa wana CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…