Pascal Mayalla: Tanzania sasa inajenga Mifumo na sio kujenga watu kama enzi za Hayati Magufuli

Sijabadilika popote wala chochote, Pasco ni yule yule, juzi, jana na leo.
P
Mkuu, ni kweli hujabadilika kwa maana bado ni Pascal na ukijitokeza tu popote tunakutambua ni wewe. Permanance ni nature ya kimbe chochote but as time goes on changes within a natural being is inevitable, biologically and socially.
"Survival of the fittest" how can you fit without changing in the world that is always changing? As a great thinker, you have to osberve this.
 
Yani huyu mama Bora ya kabudi kwa jinsi nilivo mfatilia hata ongea yake ni tabu tupu kulinganisha na hyo CV yake alivopambwa had nikawaza alikuwa kweli huko nje ya nchi au alikuwa madongo kuinama?
 
AMEN
 
Mtu ni unajijua mwenyewe ukoje from deep inside yourself na sio watu wanakuonaje! Mimi ndio Pasco mwenyewe, ninakuambia hapa, sijabadilika, mimi ni yule yule, juzi, jana na leo, ila be free to assume anything.
P
🤣 🤣🤣🤣Kwa hiyo sasa hutaki tena kukumbuka jinsi ulivyokuwa unajitahidi kuupaka rangi UDIKTETA ili sio tu kuupendezesha bali pia kuweka mzingira ya 'kutosahauliwa'?. Kama ni kweli basi ninakutakia heri ingawaje itabidi kukuangalia kidogo kabla sijakuamini.
 
Pasko ni mchambuzi?
 
Pascal Mayalla atuambie sahivi lipi BORA Kati ya kujenga Watu kama alivyofanya hayati Dr JOHN POMBE MAGUFULI au kujenga Taasisi kama anavyofanya mh. Samia Suluhu Hassan Rais wa JMT.
Hapa tunaweza kumjua kaka Pascal Mayala Ni Mtu wa Aina gani
 
mbona unahangaika sana yaani unabadilikabadilika hata hueleweki tu umepoteza imani kwetu umekuwa Masaka madaraka leo unamsifia mama
 
Huyu pasco ninachompendea ni mtu wa opportunists. Anaangalia nani yuko ktk usukani. Lkn nijambo jema kwake
 
Ungeahacha kujikomba kwa wakubwa, uyu mama ni tofauti na ********, hatakupa cheo uyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…