Pascal Mayalla: Tanzania sasa inajenga Mifumo na sio kujenga watu kama enzi za Hayati Magufuli

Pascal Mayalla: Tanzania sasa inajenga Mifumo na sio kujenga watu kama enzi za Hayati Magufuli

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge.

Je, wachambuzi wanazungumzia vipi hatua hii?

Msikilize mchambuzi wa siasa za Tanzania, Pascal Mayalla akichambua kwa kina kuhusiana na kile kinachoonekana kama anguko la msomi huyo.
 
Hii ni yesterdays news!

P
 
Nikiwaambia Bwana Paskalj Ni mpuuzi muwe mnaelewa[emoji116]
 
Mtoa mada,
Unauzungumziaje U-turn[emoji116]
 
Mtu ni unajijua mwenyewe ukoje from deep inside, na sio watu wanakuonaje!. Mimi ndio Pasco mwenyewe, ninakuambia hapa, sijabadilika, mimi ni yule yule, juzi, jana na leo, ila be free to assume anything.
P

Hakuna assumptions mkuu kikutokacho mdomoni ndio wewe sasa hii nchi ikiwa na watu vigeu geu kama wewe tutafika kweli alafu huoni aibu kusema unavyosema ? hivi hizi shule mnadomaga zinawasaidia nini kama mtu huwez simama na jambo lako moja ulilosema.
 
Nakubaliana na mchambuzi 100% kwa Bashiru, but what has Mulamula done?

Just another hopeless human being winnning public support based on her qualifications but useless professional.

What has Mulamula done, kuna namna tumejifunza ya kupambana na US politics or influence in Tanzania kwa ushauri wake.

How best to attract US investors in Tanzania based on her advice?

How to influence our policies in US government for the benefit of Tanzania?

Mulamula is just another useless diplomat.
 
Nakubaliana na mchambuzi 100% kwa Bashiru, but what has Mulamula done?

Just another hopeless human being winnning public support based on her qualifications but useless professional.
Unataka atoe mimacho na kuwafokea mabeberu (waliokuwa wanatoa chakula kwa bosi wake) kama Kabudi?

Au afanye ule upuuzi wa kunywa zile takataka za Madagascar? Tumetoka kwenye hizo siasa za kijinga za maigizo na propaganda, kubali tu hii ni new era na moyo wako utatulia.
 
Unataka atoe mimacho na kuwafokea mabeberu (waliokuwa wanatoa chakula kwa bosi wake) kama Kabudi? Au afanye ule upuuzi wa kunywa zile takataka za Madagascar? Tumetoka kwenye hizo siasa za kijinga za maigizo na propaganda, kubali tu hii ni new era na moyo wako utatulia.
What do you know about penetrating the us market in any industry?

Ukitaka kuuza bidhaa yoyote ya Tanzania, US unamjua wholesaler yoyote atakaenunua, how to approach them and his quality demands? Based on Tanzania government information.

Believe or not kuna watanzania diaspora wanaoishi huko wanaoweza kukufungulia soko, kuliko serikali yako.

Ukitaka kuvutia mwekezaji binafsi kutoka US wa kushirikiana nae Tanzania kwenye biashara yako una platform yoyote ya kuuza mawazo yako ya kibiashara US?

How did this woman enhance Tanzania, US relations?

A useless woman nothing else
 
Pascal Mayalla, mifumo haijengwi kwa kuteua na kuweka watu wenye professionalism ktk nafasi zao stahiki kama akina Mulamula. Bali hujengwa kwa kuweka sheria, kanuni na taratibu madhubuti zitakazopelekea kujengeka kwa nguvu ya kitaasisi.

Huyu mama binafsi nitamkubali endapo atabadilisha katiba ili kupunguza mamlaka ya rais ya kuteua karibu kila mkuu wa taasisi, idara, mashirika na vyombo vya ulinzi na usalama. Hapa ndiyo panaharibu mifumo ya utendaji kazi.

Watu wanafika mahala wanatumikia vyeo kinyume na matakwa ya elimu zao ili kumfurahisha aliyewateua.

Bila katiba mpya hakuna mifumo ya kiuongozi atakayojenga mama SSH.
 
Back
Top Bottom