The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
GT
Hapa ngosha Mayala nadhani alikuwa ameshukiwa na roho mtakatifu na kuongea ukweli.
Msikilize, anakasirishwa sana na maCCM kuendekeza unafiki nafiki na kuficha ukweli aomba simba aachiwe aje ulingoni kupambana na Bi kizimkazi.
View attachment 3399963
Pascal Mayalla hayo maneno ya kumuita Maza Dada Mkubwa yanaweza kumuudhi mtu na kukuletea madhara.
Anyway, I liked your point.