A Angada JF-Expert Member Joined May 19, 2024 Posts 1,921 Reaction score 3,390 Aug 14, 2025 #61 Ameongea ukweli mtupu Nani anapingana na hayo maneno
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 18,577 Reaction score 23,171 Aug 14, 2025 #62 kajitahidi na kingine umri umemtupa hana haja ya kushindana
S Shotocan JF-Expert Member Joined Nov 21, 2023 Posts 9,938 Reaction score 15,987 Aug 14, 2025 #63 didy muhenga said: Ila Mayala unajua kutuchanganya ila ngoja tusimame na wewe kwenye hili ila angalia yasijeyakakutokea kama kipindi kile Click to expand... Kazeeeka network kichwani inaingia na kutoka Akisema hili baadaye anasahau alichosema Uzee haudanganyi
didy muhenga said: Ila Mayala unajua kutuchanganya ila ngoja tusimame na wewe kwenye hili ila angalia yasijeyakakutokea kama kipindi kile Click to expand... Kazeeeka network kichwani inaingia na kutoka Akisema hili baadaye anasahau alichosema Uzee haudanganyi