The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
- Thread starter
- #41
ndo maana nikasema huenda pepo lilikuwa limemtokaMayala naye haeleweki nyuzi zake sometimes zinapingana

asili ya watu wa kanda ya ziwaPasco tukiachana na swala la uchawa ni msema kweli
Huendando maana nikasema huenda pepo lilikuwa limemtoka
Ukweli mchungu...GT
Hapa ngosha Mayala nadhani alikuwa ameshukiwa na roho mtakatifu na kuongea ukweli.
Msikilize, anakasirishwa sana na maCCM kuendekeza unafiki nafiki na kuficha ukweli aomba simba aachiwe aje ulingoni kupambana na Bi kizimkazi.
View attachment 3399963
GT

Kwa kuwa ameongea msiyoyapenda juu ya serkali ya CCM. Wewe ndo Mnafiki maana hata ukweli ukiujua huwezi kusema.Mnafiki tu
Si lazima kila mtu awe kiongozi wa kisiasa.Kungekuwa na chaguzi huru na haki, Mayalla angegombea kupitia Chadema na angekuwa kweli mbunge.
Kila siku anajitahidi kujipendekeza kwa nzi wa kijani ila wapi? Hadi anazidi kuzeeka.
Advocate Mayalla ni mtu mwenye Akili sana, na anajua kila kinachoendelea hadi kwenye grass route na anajua fika kuna vitu CCM wanafanya ambavyo ni vya Hovyo.GT
Hapa ngosha Mayala nadhani alikuwa ameshukiwa na roho mtakatifu na kuongea ukweli.
Msikilize, anakasirishwa sana na maCCM kuendekeza unafiki nafiki na kuficha ukweli aomba simba aachiwe aje ulingoni kupambana na Bi kizimkazi.
View attachment 3399963
Kwa kuwa ameongea msiyoyapenda juu ya serkali ya CCM. Wewe ndo Mnafiki maana hata ukweli ukiujua huwezi kusema.
Watu wenye IQ ndogo kumuelewa Mayala ni ngumu.Mayala naye haeleweki nyuzi zake sometimes zinapingana
Mayala ni mkweli siku zote ila haegemei upande wowote ule ndio maana ule upande utakao kuwa umepigwa za Uso na spana zake ni lazima watamchukulia kuwa huyu sio mwenzetu 😳🙄 !Mayala ni kama saa mbovu. ila heshima kwako kaka mkubwa. Mtoto wa shangazi wa Gwaji boy
NakaziaWafanye reforms waone moto tunawasubiri hata kesho
No reform No Election
Mayalla ni mwanaccm siku zote ila system ndio hamtakiMayala ni mkweli siku zote ila haegemei upande wowote ule ndio maana ule upande utakao kuwa umepigwa za Uso na spana zake ni lazima watamchukulia kuwa huyu sio mwenzetu 😳🙄 !
Ni kwa vile huwa anapenda sana kusema kweli 🤣 !Mayalla ni mwanaccm siku zote ila system ndio hamtaki
GT
Hapa ngosha Mayala nadhani alikuwa ameshukiwa na roho mtakatifu na kuongea ukweli.
Msikilize, anakasirishwa sana na maCCM kuendekeza unafiki nafiki na kuficha ukweli aomba simba aachiwe aje ulingoni kupambana na Bi kizimkazi.
View attachment 3399963
Alichozungumza Paschal Mayalla: Kazi ya uandishi wa habari ni kama wahadhiri, tunatakiwa kuwa wakweli bila kupindapinda. Nakerwa na hii tabia ya kuzungumza kusema kuwa "Kama CCM itarudi madarakani kwenye uchaguzi". Hii sentensi mimi siipendi kwa sababu hauwezi kushindana na kivuli halafu ukasema "Kama utarudi".
Mimi nakushauri Prof Kitila unaweza kumshauri Dada Mkubwa hata kale kasimba ka Kizimkazi, kaacheni kidogo halafu muone. Hapo mtakuwa mmeshinda kwelAangalie yasije mpata ya kumpata kama yale ya kipindi cha magufuli like swali alimuuliza lilimtia korokoroni ki style hadi kakoma
Mzee Pascal Mayalla akiamua kujilipua analipuka haswa.GT
Hapa ngosha Mayala nadhani alikuwa ameshukiwa na roho mtakatifu na kuongea ukweli.
Msikilize, anakasirishwa sana na maCCM kuendekeza unafiki nafiki na kuficha ukweli aomba simba aachiwe aje ulingoni kupambana na Bi kizimkazi.
View attachment 3399963
Alichozungumza Paschal Mayalla: Kazi ya uandishi wa habari ni kama wahadhiri, tunatakiwa kuwa wakweli bila kupindapinda. Nakerwa na hii tabia ya kuzungumza kusema kuwa "Kama CCM itarudi madarakani kwenye uchaguzi". Hii sentensi mimi siipendi kwa sababu hauwezi kushindana na kivuli halafu ukasema "Kama utarudi".
Mimi nakushauri Prof Kitila unaweza kumshauri Dada Mkubwa hata kale kasimba ka Kizimkazi, kaacheni kidogo halafu muone. Hapo mtakuwa mmeshinda kweli.