The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
GT
Hapa ngosha Mayala nadhani alikuwa ameshukiwa na roho mtakatifu na kuongea ukweli.
Msikilize, anakasirishwa sana na maCCM kuendekeza unafiki nafiki na kuficha ukweli aomba simba aachiwe aje ulingoni kupambana na Bi kizimkazi.
View attachment 3399963
Akiudhika na vitu vidogo kama hivi atakuwa ana-behave kama mlevi wa pombe kali. Kuna vitu vingi Pascal anaongea, lakini hii kauli ambayo walio na akili ndani ya safu ya viongozi wa CCM wanapaswa kuitafakari sana. Wakikaa kimya basi ni dhahiri hakuna wenye akili ndani ya safu ya viongozi wa CCM, kuanzia juu kabisa hadi chini kabisa.Pascal Mayalla hayo maneno ya kumuita Maza Dada Mkubwa yanaweza kumuudhi mtu na kukuletea madhara.
Anyway, I liked your point.
GT
Hapa ngosha Mayala nadhani alikuwa ameshukiwa na roho mtakatifu na kuongea ukweli.
Msikilize, anakasirishwa sana na maCCM kuendekeza unafiki nafiki na kuficha ukweli aomba simba aachiwe aje ulingoni kupambana na Bi kizimkazi.
View attachment 3399963
Reform za nini? kura zipigwe kwa machine(biometric voting machine) overWafanye reforms waone moto tunawasubiri hata kesho
No reform No Election
Hakuna haya ya reforms tutumie biometric voting machineMachawa ya mama hayawezi kukubali reforms zifanyike, hayatarudi kwenye nafasi zao.
Hiyo ni sawa na kutia kitumbua chao mchanga!
Ikumbukwe machawa yameshamuweka sa100 kiganjani!
Ni afadhali uwe masikini wa cheo lakini uwe tajiri wa haki na amani. Mayalla ninavyomwona akiingia kwenye uongozi atafanyakazi na pande zote.GT
Hapa ngosha Mayala nadhani alikuwa ameshukiwa na roho mtakatifu na kuongea ukweli.
Msikilize, anakasirishwa sana na maCCM kuendekeza unafiki nafiki na kuficha ukweli aomba simba aachiwe aje ulingoni kupambana na Bi kizimkazi.
View attachment 3399963
Hii haswa imekuja katika utawala wa Jiwe, ambaye kwa kweli alikuwa hajiamini toka anagombea ubunge huko Chato. Yeye siku zote amekuwa mtu wa figisu kwenye uchaguzi. Bahati mbaya alipopata urais akaleta huo mtindo wake kwenye uchaguzi wa serikali ya mtaa, alipofanikiwa sasa CCM wote wakaona kwanini wateseke na njia hiyo ni rahisi. Ndio leo tuko hapa.Angalau kwa dakika alizopewa amekuwa mkweli wa nafsi yake.
Ccm hawajawahi kupenda ushindani wa haki na kweli. Wanataka chaguzi wanazozi remote
Wakiona mashine mbali tukapige kura kwakukaa nyuma ya mgombea๐ ๐ ๐ ๐Reform za nini? kura zipigwe kwa machine(biometric voting machine) over
Vituo ni vingi sana mkuuWakiona mashine mbali tukapige kura kwakukaa nyuma ya mgombea๐ ๐ ๐ ๐
Sisi tunauhakika na jambo letu situnataka haki๐ ๐ ๐ ๐ namna yoyote isiyo yamizengweVituo ni vingi sn mkuu
CCM hawawezi kukubaliSisi tunauhakika na jambo letu situnataka haki๐ ๐ ๐ ๐ namna yoyote isiyo yamizengwe
Au basi tufanye very simple Lissu hapa na Samia hapa watu wapange mstari nyuma ya wanayemtaka afu tuhesabu idadi..Uchaguzi ukiwa huru na wa haki Tundu Lissu anamshinda Samia saa nne asubuhi tu, kama CCM wanabisha waweke uwanja sawa waone moto wake.