GE2025 Paschal Mayala: CCM Itakuwa inapambana na kivuli chake kama CHADEMA Haitashiriki uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kungekuwa na chaguzi huru na haki, Mayalla angegombea kupitia Chadema na angekuwa kweli mbunge.

Kila siku anajitahidi kujipendekeza kwa nzi wa kijani ila wapi? Hadi anazidi kuzeeka.
Si lazima kila mtu awe kiongozi wa kisiasa.

Ili Taifa liendelee tunahitaji hawa intellectuals
wawe watumishi serikalini.
 
Advocate Mayalla ni mtu mwenye Akili sana, na anajua kila kinachoendelea hadi kwenye grass route na anajua fika kuna vitu CCM wanafanya ambavyo ni vya Hovyo.
Sema anaamuaga kuuma uma ili kujiepusha na hujuma za CCM (Mtawala).
He knows better.
 
 
Mzee Pascal Mayalla akiamua kujilipua analipuka haswa.
 
Pascal Mayalla Huwa namkubali sana,ila wakati mwingine anateleza!,kweli ili ushinde na kuonekana umeshinda,pambana na mshindani wako kwa Haki kama vile michezo wa Ngumu, knockout Huwa Haina upendeleo Wala kelele!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…