Impactinglife
Member
- Apr 15, 2019
- 41
- 99
Wakuu nipo Live Jambo Tv namsikiliza Mheshimiwa Tundu A. Lissu Juu ya No reform no election akichambua kiundani matatizo ya kimfumo na kikatiba ya Mfumo wa uchaguzi na jukwaa la wahariri Tanzania.
Kuna huyu ndugu Paschal Mayalla wakati WA maswali na majibu Kwa mh. Lissu ameuliza swali ambalo halina maana ya dhima nzima ya mkutano huo. Anadai Kwanini CHADEMA msiende kumpigia rais magoti badala ya kutumia Njia Ambazo sio sahihi mkiomba uchaguzi uwe huru na haki kwani rais ni msikivu. Paschal anafanya makusudi au mahaba yamemzidi hajui kuwa rais ni candidate ambaye Naye Anataka ashinde uchaguzi huo how come atawasikiliza CHADEMA!?? Pili issue ya mabadiliko haitakiwi iwe Kwenye huruma za mtu as if he or she is Demigod
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025