Anaulizwa maswali gani? Yeye ni raisi, maswali gani wewe utamuuliza.
Wapo wateuliwa wake, ndio watoa majibu, yule ni raisi aisee😂😂😂msijisahau.
Raisi anatoa taarifa kwa niia rasmi either hotuba au mkutano uliopangwa.
Na duniani kuepuka maswali ya hapo kwa hapo, yanaweza chafua taswira au kuleta usiasa ndani. Yake. Yaani raisi yukoprone hivo, trump na yule wa ufaransa aaam atleast they try, kikwete alijitahidi nae. Ila wengi hapana raisi hawezi fanya unachosema. Ni a very big brand , president yyte.
So hata wewe ukiwa raisi protocol ya kwanza sio kuropoka ropoka.