Paschal Mayalla ni vyema atambue wanachodai CHADEMA sio ‘huruma ya Rais’ bali ni haki yao

Pascal yupo sahihi kuna matakwa ya Chadema lakini kumbuka pia CCM wana matakwa yao, ni wengi na yako wanayoyapenda wao. Shida ya Chadema wanadhani ya kwao tu ndio yatekelezwe hawajui majority ambao ni CCM pia wanayao wanataka yabakie. Chadema wajipange sana siasa za kiharakati hawafiki mbali.... zitaishia kwenye mitandao tu.
 
Bila kupiga magoti HAKUNA No Reform, No Election na hakuna mtu yeyote atafanya chochote nchi hii zaidi ya kuropoka kama anavyoropoka Lissu. Lissu ni mtu "mdogo sana" kuwa na impact yoyote nchi hii.
 
P ni kaka yangu wa Ilboru. Naona tatizo la bro ni kama vile muda umempita ! Tatizo ni kwamba viongozi wa sasa hawana zile busara tena ni waongo
 
Ungewasikiliza CHADEMA leo usinge comment hivi... Aliyetoka Kwenye Meza ya majadiliano SIO CHADEMA ni CCM baada ya kukataa hoja zote walizojadili hapo Mwanzo... Let's put politics aside CCM Wana dai nini huku Mfumo mzima unawabeba...Lunatic!
 
Yes anatembea nao lakini huwa hatoi nafasi yakuulizwa maswali.
Yeye ni kuongea tu then ana sepa zake.
 
Yes anatembea nao lakini huwa hatoi nafasi yakuulizwa maswali.
Yeye ni kuongea tu then ana sepa zake.
Anaulizwa maswali gani? Yeye ni raisi, maswali gani wewe utamuuliza.
Wapo wateuliwa wake, ndio watoa majibu, yule ni raisi aisee😂😂😂msijisahau.
Raisi anatoa taarifa kwa niia rasmi either hotuba au mkutano uliopangwa.
Na duniani kuepuka maswali ya hapo kwa hapo, yanaweza chafua taswira au kuleta usiasa ndani. Yake. Yaani raisi yukoprone hivo, trump na yule wa ufaransa aaam atleast they try, kikwete alijitahidi nae. Ila wengi hapana raisi hawezi fanya unachosema. Ni a very big brand , president yyte.
So hata wewe ukiwa raisi protocol ya kwanza sio kuropoka ropoka.
 
Mawazo ya Heche, Tundu Lisu na Mnyika ukimuuzia mzungu anaweza kukupa €330,000,000 naenda zangu kuyauza fasta

👑👑👑👑utumwa wa dhahili👑👑👑👑Hayaji kutekelezwa👑👑

Hayo mambo ya tundu lisu anayoongea mtatekeleza lini...

Kubali tu kuna mzungu alikuwa anayaNOTE hapo ataenda kutekeleza kwenye nchi yake...

Ikiwa amerika itapendeza ni aina nyingine ya utumwa😂😂😂😂Tunachukiana bure Utumwa uliisha lini😂😂😂💊💊💊💊💊💊💊💊💊💉💉💉💉💉💉💉usiku💉💉💉💊💊💊
 

Mbona hakuna anayesema CCM wafanye nini yaani chaguzi mbovo halafu tunalaumwa wanaotekwa n kuibiwa kura bila kuhoji wahusika wakuu. Ni lini hawa wanahabari wamemuhoji Samia kuhusu haki na demokrasia? Mnasema utamaduni
 


Kwa wanaopenda nchi kweli tungeona wanahoji hao watu wa serikali na kudai sheria bora, uhuru, na demokrasia
 
Unadhani kila siku ni ijumaa?
 
Kulinda na Kuitetea amani yetu sio jambo la kuoneana huruma bali ni jambo la msingi kabisa, lenye uzito tofauti kabisa na mambo yenu ya katiba na uchaguzi
 
Ungewasikiliza CHADEMA leo usinge comment hivi... Aliyetoka Kwenye Meza ya majadiliano SIO CHADEMA ni CCM baada ya kukataa hoja zote walizojadili hapo Mwanzo... Let's put politics aside CCM Wana dai nini huku Mfumo mzima unawabeba...Lunatic!
Ndio maana ya majadiliano, majadiliano ni kukubaliana na kukataliana. Nimesikiliza waliotoka ni Chadema ndio katibu mkuu kasema., Kwa mujibu waliyapitia yale waliyodhani mepesi japo yalichukuwa muda lakini walikubaliana ndio kaama mikutano na mengine kisa Chadema katika yale magumu baada kuona yanachukuwa muda mrefu wakasema tumeshaongea sana basi tutatuma barua na mtujibu kwa barua, sasa hapo nani aliyejitoa? hoja yako kukataliwa sio kushindwa mazungumzo ni sehemu. Nadhani nimekujibu Chadema ndio waliosusa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…