Paschal Mayalla ni vyema atambue wanachodai CHADEMA sio ‘huruma ya Rais’ bali ni haki yao

Na sio haki ya CDM pekee,Bali ni haki na hitaji la wananchi.
 
Kiwango chako cha elimu ni kidogo sana. Rais wa nchi anatakiwa kuulizwa maswali na kuyatolea ufafanuzi, angalia Rais wa Marekani anavyofanya ziara zake anakuwa anaulizwa maswali popote pale alipo. Fuatilia mambo. Rais wetu ni mungu mtu kila kitu kipo chini yake.
 
Hatujasema bila Reforms tutasusia, tumesema bila reforms tutahakikisha Uchaguzi haufanyiki kabisa.
Good strategy but unattainable,mamlaka imeamua kupuuza,CCM nayo kwa kupitia Wasira imeyapuuza.
Bunge nako si covid19 wala mbunge wenu mmoja wa jimbo wanaekoleza muswaada bungeni.
Wananchi nao wako busy kusaka mkate.
Katika mazingira kama hayo imegeuka vita ya chama kimmoja vis umma.
Vyama vingine navyo havijajitokeza kuunga mkono hoja ya Chadema.

Kwa lugha ya Raisi Trump you have no card to set a deal.
Tafuta njia ya mazungumzo na mkuu wa nchi mapema iwezekanavyo kabla bunge alijavunjwa.
Kwani yajayo yanasikitisha.....
 
Bahati mbaya PM hajui kuwa kwenye zile 4R imo REFORM ambayo kwa bahati mbaya aliyependekeza 4R halijui hilo! Ndiyo maana niliwahi kusema hizo 4R zilifyatuka kwa bahati mbaya tu kutoka kwenye mtutu. Pamoja na yote ujue huyo PM haipendi Chadema na hasa Mbowe na Lissu.
 
Kwahiyo hujaona nimeongelea kwamba trump hufanya hivo. Alafu weee huna akili wewe. Hujui kusoma au. Mimi nimeongelea maraisi wengi hawafanyi hivo na nimetoa sababu. Mpuuzi wewe, uwe unasoma. Ushawahi ona interview ya kagame, magufuli, raisi wa brazil? Gadaffi au ramaphosa. Umewahi ona kama hizi za mwenyekti weny wa chadema. Use your common sense madafaka. Soma nilichoandika kenge blu ww
 
Hizi ni dharau za wazi dhidi ya Umma wa Watanzania.
Nguvu ya umma iliyotumika kwenye '"arab springs" hukuiona au hukuielewa!!??

Kweli madaraka huleta kiburi.
Kiburi chako hakika kipo mwishoni mwishoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…