Paskali Mayalla, Abdul Nondo live star Tv wakijadili Katiba Mpya

Huyu mzee ana msongo wa mawazo dish lake linayumba, kumponya ugonjwa wake wampe kauteuzi kokote
 
Huyo jamaa hapo studio anajitambulisha kama kiongozi wa TLP, lakini kila anachoongea ni kitu cha kiCCM kwa 100%. Hivi Nyanda alikosa watu wa maana kuwaalika hapo studio.
 
Paskali anasema cdm watekeleze kwanza katiba yao, kisha wadai ya nchi. Anasema watu hawakudai katiba wakati wa Magufuli, hivyo wakidai sasa ni kumuonea mama Samia.

Hivi huyu bado hajalamba teuzi au ndio mwendo wa kukumbukwa !.
 
Dah....ifike wakati tuweke ulevi pembeni.....Nani asiyependa kupewa shavu? Tumeona kina slowslow.....CS mstaafu....yule Mama wa Migombani....Prof K M ..... Njaa ndugu yangu....kila mmoja anatafuta namna tumbo lake lijae....au unataka hadi mzee wa Ubelgiji abadilike ndiyo utie akili? Acha kudemka banaa 🤭
 
Paskali Mayalla anasema katiba ikivunjwa watu waende mahakamani, kule kwenye mahakimu wanaoendesha kesi kwa maagizo ya watawala. Paskali anajadili akiegemea itikadi yake.
Hata ikiletwa mpya ikivinjwa Utaenda wapi Kama si huko mahakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…