Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Paskali anasema cdm watekeleze kwanza katiba yao, kisha wadai ya nchi. Anasema watu hawakudai katiba wakati wa Magufuli, hivyo wakidai sasa ni kumuonea mama Samia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Paskali anasema cdm watekeleze kwanza katiba yao, kisha wadai ya nchi. Anasema watu hawakudai katiba wakati wa Magufuli, hivyo wakidai sasa ni kumuonea mama Samia.
Huyu mzee ana msongo wa mawazo dish lake linayumba, kumponya ugonjwa wake wampe kauteuzi kokoteNimemsikiliza Pasco Mayalla, mengi anayoongea kuhusu Katiba ni upuuzi mtupu, yuko kujipendekeza kwa mama Samia ili apate chochote...
Yaani Pasco yuko busy kuikosoa Chadema, Chadema, Chadema....
Yaani utadhani mjadala unahusu Chadema wakati hakuna muwakilishi rasmi wa Chadema hapo studio kujibu hoja.
Nimemdharau sana Pasco Mayalla.
Ni mtu wa ovyo ovyo sana.
Chawa Kunguni Papasi Kupe Ndorobo Mbung'oTatizo wanaojadili wote ni mataga na wote ndio wanaounda serikali
Kwa hio hamna jipya hapo kwa hao chawa!
Apelekwe Korogwe Lutindi Mental HospitalHuyu mzee ana msongo wa mawazo dish lake linayumba, kumponya ugonjwa wake wampe kauteuzi kokote
Hakika Komredi.....Mnaweza pata katiba mpya na bado msipate mnachotaka
Pasco ametema sana MADINI....Nasikia Pasco ametapika mashudu huko star tv.
Tunataka katiba mpya ili tumpunguze nguvu ccm,unataka kusema hilo haliwezekani hata tukipata katiba mpya?Mnaweza pata katiba mpya na bado msipate mnachotaka
Huo ugoro kwenu ndiyo huwa mnaita madini?Pasco ametema sana MADINI....
Paskali anasema cdm watekeleze kwanza katiba yao, kisha wadai ya nchi. Anasema watu hawakudai katiba wakati wa Magufuli, hivyo wakidai sasa ni kumuonea mama Samia.
Dah....ifike wakati tuweke ulevi pembeni.....Nani asiyependa kupewa shavu? Tumeona kina slowslow.....CS mstaafu....yule Mama wa Migombani....Prof K M ..... Njaa ndugu yangu....kila mmoja anatafuta namna tumbo lake lijae....au unataka hadi mzee wa Ubelgiji abadilike ndiyo utie akili? Acha kudemka banaa 🤭Nimemsikiliza Pasco Mayalla, mengi anayoongea kuhusu Katiba ni upuuzi mtupu, yuko kujipendekeza kwa mama Samia ili apate chochote...
Yaani Pasco yuko busy kuikosoa Chadema, Chadema, Chadema....
Yaani utadhani mjadala unahusu Chadema wakati hakuna muwakilishi rasmi wa Chadema hapo studio kujibu hoja.
Nimemdharau sana Pasco Mayalla.
Ni mtu wa ovyo ovyo sana.
Na chadema imepiga ngumi za pumbuz.Pasco kawapiga ngumi ya uso machadema wote
Hata ikiletwa mpya ikivinjwa Utaenda wapi Kama si huko mahakaniPaskali Mayalla anasema katiba ikivunjwa watu waende mahakamani, kule kwenye mahakimu wanaoendesha kesi kwa maagizo ya watawala. Paskali anajadili akiegemea itikadi yake.