Passion Lady ajifungua mtoto wa kiume

Hongera sana passion lady, namuomba mchumba huyo nim book mapema kwangu kuna mtoto wa kike
 
inapendeza kuona jukwaa hili linafanya mambo kwa vitendo na siyo kila siku ushauri tu. Tuzaane tuijaze dunia.
 
Hahaaa pole Excel...

mi nshakusoma bana!! ntakuwa sji hivi hivi kwenu!

ntakuwa nna bullet proof, bandeji, painkiller, chapa shoka, salimia, action, na dawa zoote za kutuliza maumivu!!

mwanamke gani wewe unapiga ngumi namna hiyo? eeenh!
 
Hahaa uje na gari la wagonjwa kabisa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…