Passion Lady ajifungua mtoto wa kiume

Passion Lady ajifungua mtoto wa kiume

Hongera sana passion lady, namuomba mchumba huyo nim book mapema kwangu kuna mtoto wa kike
 
Hahaaa pole Excel...

mi nshakusoma bana!! ntakuwa sji hivi hivi kwenu!

ntakuwa nna bullet proof, bandeji, painkiller, chapa shoka, salimia, action, na dawa zoote za kutuliza maumivu!!

mwanamke gani wewe unapiga ngumi namna hiyo? eeenh!
 
Hahaa uje na gari la wagonjwa kabisa....
 
Back
Top Bottom