Mzee unazungumza kuweka turbo as if ni kama kuweka maji kwenye galss wakati sio hivyo...
Gari kuiwekea turbo lazima uta upgrade na mambo mengine kuanzia ku upgrade ECU, ku modiffy clutch systems, fuel systems, ku modify compression ratio, kutumia head gaskets kubwa, ku modify camshaft , masuala ya valve n.k
Tunachozungumzia ni LC vs Passo, achana na masuala ya kutenegenezwa kwa jili ya speed or not, sote tunajua golf R inaweza kuiacha LC mbali hata GTI golf inaizidi LC.... LC ni family car... lakini LC si kuilinganisha na uchafu unaitwa passo..