Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Mkuu factor yoyote ikileta kikwazo kwa passo lazima na speed meter itashukaNdio nasema katika uhalisia passo itabaki nyuma..
Kwa physics za darasani ku ignore uhalisia zitakuwa sawa...
Upepo tu pekee ni fact moja kubwa kwa passo kuzidiwa..
Haiwezekani passo ikumbane na vikwazo na ipunguze speed halafu speed bado isome ilele
Speed ikisoma 180 maana yake hakuna kikwazo