Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo?

Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo?

v8 ina speed, handling nzuri, superior suspensions systems,advance techs...

V8 zimetengenezwa kuwa salama katika uendeshaji wa speed kubwa, upigaji wa kona katika speed kubwa, handling nakadhalika, V8 ni gari zimetengenezwa kwa teknolojia ya juu katika suspensions systems , ni gari zenye teknolojia ya juu katika handling , stability kuliko passo.

Passo haina nafasi kwa v8

Usiangalie 180, angalia handling, comfortability', performance..... v8 ipo mbali.
 
Nadhan wote mnaojibu hamjamielewa mtoa mada.

Kuna power na speed, zinafanana ila sio the same.

At that speed zote zitakua sawa lkn ikitokea mabadiliko kwenye slope hapo mwenye power kubwa ndo atadominate
 
v8 ina speed, handling nzuri, superior suspensions systems,advance techs...

V8 zimetengenezwa kuwa salama katika uendeshaji wa speed kubwa, upigaji wa kona katika speed kubwa, handling nakadhalika, V8 ni gari zimetengenezwa kwa teknolojia ya juu katika suspensions systems , ni gari zenye teknolojia ya juu katika handling , stability kuliko passo.

Passo haina nafasi kwa v8

Usiangalie 180, angalia handling, comfortability', performance..... v8 ipo mbali.
Sema tu v8 ina power kubwa zaidi ya passo.

Ndio maana engine zina spec inaitwa Horse power
 
Kwanza kabisa hakuna gari inaitwa V8.

V8 ni aina ya injini ambayo ina magurudumu nane (cylinders) yaliyopangwa kwa mpangilio wa 'V'. Hii ina maana kwamba magurudumu hayo mawili ya injini yamepangwa kwa njia ya "V", ambapo kila upande una magurudumu manne. Maana yake ni kwamba cylinder 8 katika umbo la V.

Pili, nini maana ya speed??

Speed (au kasi) ni kipimo cha umbali unaotembelewa ndani ya muda fulani. Kwa maneno mengine, speed inonyesha jinsi kitu kinavyosonga haraka au polepole kutoka sehemu moja hadi nyingine. Hivyo, speed ni sawa na Umbali gawanya kwa muda.

Ni hivi, ikiwa gari imetembea Km 200 kwa masaa manne, je gari hiyo ilikua inatembea kwa speed gani??

Ni speed = Umbali gawanya kwa muda

Hivyo ni Km 200 ÷ 4hrs = 50Km/h

Mifano ya speed ni kama ifuatavyo:

i) Mfano wa gari iwe paso au V8 (kama swali la mtoa mada japo V8 sio gari)...... Gari linapokwenda kwa speed ya 100 km/h, inamaanisha kwamba gari hilo linatembea umbali wa kilomita 100 kila saa moja.

ii) Mfano wa mtoto au HusseinBolt (kama baadhi ya wachangiaji walivyotoa mifano yao).......Mtoto au Hussein Bolt anapokimbia kwa speed ya 10 m/s, inamaanisha anatembea umbali wa mita 10 kila sekunde moja.

iii) Mfano wa ndege...... Ndege inapokuwa inaruka kwa speed ya 800 km/h, inamaanisha inatembea umbali wa kilomita 800 kila saa moja.

Kwa kumalizia, nimeshangazwa na majibu ya ndugu yangu mpare Mshana Jr !!

Hiii mada hipo humu. Mods tusaidie kuweka link watu wakajisomeee zaidi.

Cc
Active
JamiiForums
Maxence Melo
 
Sema tu v8 ina power kubwa zaidi ya passo.

Ndio maana engine zina spec inaitwa Horse power
Sio hp tu, gari ya kuipambanisha na LC labda ford raptor itaiacha LC kwenye handling, speed, accelaration, HP na n.k...... hata satety features raptor ipo mbali, ground clearance , lakini reliability LC inaiacha raptor mbali...

Passo sio class moja na V8, V8 ni gari nyingine, hata ukaribu haupo kuilinganisha na passo, hata ist ina out perform passo katika kila eneo...
 
kitakachotokea ni sawa na unatembea na mtoto mdogo katika speed sawa, ni kwamba wewe utakua unatembea kawaida, ila mtoto ataonekana anakimbia ili kumaintain speed yako.wewe v8 na mtoto ndo passo, cjui nimeeleweka hapa.
 
Rudi kwenye mada
 
Ukisoma comment ndo utajua sehemu ulipo!! Home of great thinkers. Naomba Mungu wakenya wasione uzi huu!!
 
Kudadeki alieleta Elimu kwa lugha ya Mkoloni ndie anaefanya watu wajichanganye hapa, huwezi kupima kasi bila Muda na huwezi kupima umbali bila kasi, Mtu anakuuliza anaetumia saa moja kutembea umbali wa km 80 akiwa na Passo au V8 nani anawahi kufika kimsingi hakuna Swali hapo ni chemsha bongo tu, Uwe mlefu au mfupi wote mkitumia Dk 10 kutoka ubungo kwenda kimala wote mtakuwa mmetembea umbali sawa tofauti mfupi atapiga hatua nyingi na mlefu atapiga hatua chache ila wote watakuwa wametembea umbali ule ule na kwa muda ule ule
Hawa great thinkers sidhani kama wamesoma physics form two.
 
Passo sio gari ni boda yenye tyre 4..
Mada ni speed!!

Speed = Distance over time!! Full stop, regardless ni boda, paso au hiyo V8 yenu..

Hivi nyie hamjui kuna pikipiki ni V8??

Nenda YouTube andika hivi

Honda CB800 V8 ukutane na pikipiki yenye V8 engine
 
Hivi jamani Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo au kuna tofauti? Cse magari madogo mengi ni 180KMh, sawa na haya magarri yetu SUVs.

Sasa tofauti ni wapi?
Kasi ni kipimo cha mwendo wa umbali kwa muda. Kasi ya 80 km/h inamaanisha gari linapita umbali wa kilomita 80 kwa kila saa moja.

Hii ni kanuni ya msingi ya fizikia isiyobadilika kutokana na aina ya gari.

Kwa hiyo, ikiwa Passo na Land Cruiser V8 zote zinatembea kwa 80 km/h, basi kila moja itaendaa umbali sawa kwa muda sawa.

Ova
 
Back
Top Bottom