Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Nafikir swali la kisayansi ni Je Nikiondoka na Paso kwenda Umbali wa KM 80 kwa spidi ya km 80 kwa saa je nitafika ndani ya lisaa limoja.Na Je iwapo gari itakuwa ni V8 na mwendo na umbali ni huo huo nitafika kwa lisaa limoja?Jibu ni Ndio.Hta hivyo gari kubw yenye injini kubwa inakuwa experience tofauti,air resistance tofauti na kwa sababu ya ukubwa wa tairi pia experience itakuwa tofauti.Kwa Ufupi ni kwamba Unapoendesha Passo kwa spidi sawa na V8,Hii injini ndogo inaweza kuwa inaumiza zaidi ni hivyo kufanya driving and stopping experience kuwa tofauti.Hivyo Basi Paso pamoja na kwamba inaweza kwenda hadi 180kph lkn V8 inakuwa nzuri na salama kwa kasi hiyo kuliko Passo so hawawezi kushindana