Sawa mkuu mimi niliicha kidato cha nne baada ya kumtukana mwalimu ila tuzungumze kwa undani kidogo maoni yangu ni kwamba gari hizi mbili katika speed hiyo ya 80km/h zinaweza kuwa sawa au zisiwe sawa kutokana factors mbalimbali je unakubaliana na mm?Physics naielewa kuliko wewe
Nakubaliana na wewe..Sawa mkuu mimi niliicha kidato cha nne baada ya kumtukana mwalimu ila tuzungumze kwa undani kidogo maoni yangu ni kwamba gari hizi mbili katika speed hiyo ya 80km/h zinaweza kuwa sawa au zisiwe sawa kutokana factors mbalimbali je unakubaliana na mm?
Zipo factor zinazoweza kuathiri mwendokasi wa chombo katika Physics unaelewa nachomaanisha hata usafirishaji wa sauti au wave vipo vikwazo vinavyoweza kuathiri katika mwendokasi ,factors kama aina ya njia kama mwinuko lazima utaathiri mwendo wa chombo chako hivyo basi utaitaji power zaidi ili kumantain acceleration uliyokuwa umeanza nayo mwanzo apo V8 ataenda mbele ya passo coz power imembeba Nazungumzia acceleration katika speed hii ni topic nyingine ndio maana kuna gari zina acceleration ya 0'S to 100'S kwa sekunde 6 tu only six second inafika speed 100. Kinyume chake chake sasa hata passo hiyo inaweza mzidi huyo V8 katika speed hiyo hiyo 80k/h, chukulia mfano passo kafungwa technojia ya Twin Turbo anapata power na acceleration ya haraka so hizo ndio Factors kwa uchache zipo nyingi utaongezea zingine kama nimekosea. Kingine hizo Landcruser mnazozisifia kwa mbio hizo gari zimeundwa kutoa power ya kusafiri katika mazingira magumu na sio speed kabisa hazina ukubwa wa speed ndio maana kila siku mnalalamika why zinazidiwa na vi Volkuswagen na ukubwa wake huo?Nakubaliana na wewe..
Mzee unazungumza kuweka turbo as if ni kama kuweka maji kwenye galss wakati sio hivyo...Zipo factor zinazoweza kuathiri mwendokasi wa chombo katika Physics unaelewa nachomaanisha hata usafirishaji wa sauti au wave vipo vikwazo vinavyoweza kuathiri katika mwendokasi ,factors kama aina ya njia kama mwinuko lazima utaathiri mwendo wa chombo chako hivyo basi utaitaji power zaidi ili kumantain acceleration uliyokuwa umeanza nayo mwanzo apo V8 ataenda mbele ya passo coz power imembeba Nazungumzia acceleration katika speed hii ni topic nyingine ndio maana kuna gari zina acceleration ya 0'S to 100'S kwa sekunde 6 tu only six second inafika speed 100. Kinyume chake chake sasa hata passo hiyo inaweza mzidi huyo V8 katika speed hiyo hiyo 80k/h, chukulia mfano passo kafungwa technojia ya Twin Turbo anapata power na acceleration ya haraka so hizo ndio Factors kwa uchache zipo nyingi utaongezea zingine kama nimekosea. Kingine hizo Landcruser mnazozisifia kwa mbio hizo gari zimeundwa kutoa power ya kusafiri katika mazingira magumu na sio speed kabisa hazina ukubwa wa speed ndio maana kila siku mnalalamika why zinazidiwa na vi Volkuswagen na ukubwa wake huo?
Kwanini itangulie wakati speed ni sawa?Tairi ya V8 lina mzingo mkubwa kuliko ya Passo speed sawa ila V8 itatangulia plus ukubwa wa Injini.
Kumbe hujui...Mkuu factor yoyote ikileta kikwazo kwa passo lazima na speed meter itashuka
Haiwezekani passo ikumbane na vikwazo na ipunguze speed halafu speed bado isome ilele
Speed ikisoma 180 maana yake hakuna kikwazo
Mkuu sasa nimekuelewaKumbe hujui...
Ukibadili hata size ya tyre ya gari inapelekea speedometer kusoma tofauti na mwendokasi wa gari wa uhalisia, mshale unasoma 140, halafu gari ipo 130km/hr , bado huelewi.
Land Cruiser ina build power taratibu sababu haikuwa na Turbo na gear ratio nzuri ila kwa hizi V6 wameboresha na kufunga turbo nzuri na kujaza gear nyingi so gari ina build power haraka. Only drawback ni uzito wake compared na vigari vidogo kama volkswagen golf au polo.Zipo factor zinazoweza kuathiri mwendokasi wa chombo katika Physics unaelewa nachomaanisha hata usafirishaji wa sauti au wave vipo vikwazo vinavyoweza kuathiri katika mwendokasi ,factors kama aina ya njia kama mwinuko lazima utaathiri mwendo wa chombo chako hivyo basi utaitaji power zaidi ili kumantain acceleration uliyokuwa umeanza nayo mwanzo apo V8 ataenda mbele ya passo coz power imembeba Nazungumzia acceleration katika speed hii ni topic nyingine ndio maana kuna gari zina acceleration ya 0'S to 100'S kwa sekunde 6 tu only six second inafika speed 100. Kinyume chake chake sasa hata passo hiyo inaweza mzidi huyo V8 katika speed hiyo hiyo 80k/h, chukulia mfano passo kafungwa technojia ya Twin Turbo anapata power na acceleration ya haraka so hizo ndio Factors kwa uchache zipo nyingi utaongezea zingine kama nimekosea. Kingine hizo Landcruser mnazozisifia kwa mbio hizo gari zimeundwa kutoa power ya kusafiri katika mazingira magumu na sio speed kabisa hazina ukubwa wa speed ndio maana kila siku mnalalamika why zinazidiwa na vi Volkuswagen na ukubwa wake huo?
HahahaPasso speed ya 180kmh kinapaa kinaenda na upepo kabisa
Mzee unazungumza kuweka turbo as if ni kama kuweka maji kwenye galss wakati sio hivyo...
Gari kuiwekea turbo lazima uta upgrade na mambo mengine kuanzia ku upgrade ECU, ku modiffy clutch systems, fuel systems, ku modify compression ratio, kutumia head gaskets kubwa, ku modify camshaft , masuala ya valve n.k
Tunachozungumzia ni LC vs Passo, achana na masuala ya kutenegenezwa kwa jili ya speed or not, sote tunajua golf R inaweza kuiacha LC mbali hata GTI golf inaizidi LC.... LC ni family car... lakini LC si kuilinganisha na uchafu unaitwa passo..
Ni sahihi lakini muuliza swali anataka kujua gari hizi mbili zikiwa kwenye mwendo kasi wa 80km/h, mfano zinatoka Dar kwenda Tanga je kuna itayokuwa mbele ya mwenzake yaani itayowahi kufika kabla ya mwenzake? Pasipo kuzidi mwendokasi huo wala kupungua.Mzee unazungumza kuweka turbo as if ni kama kuweka maji kwenye galss wakati sio hivyo...
Gari kuiwekea turbo lazima uta upgrade na mambo mengine kuanzia ku upgrade ECU, ku modiffy clutch systems, fuel systems, ku modify compression ratio, kutumia head gaskets kubwa, ku modify camshaft , masuala ya valve n.k
Tunachozungumzia ni LC vs Passo, achana na masuala ya kutenegenezwa kwa jili ya speed or not, sote tunajua golf R inaweza kuiacha LC mbali hata GTI golf inaizidi LC.... LC ni family car... lakini LC si kuilinganisha na uchafu unaitwa passo..
haha🔨Anzisha mada yako
Cse magari madogo mengi ni 180KMh, sawa na haya magarri yetu SUVs.Hivi jamani Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo au kuna tofauti? Cse magari madogo mengi ni 180KMh, sawa na haya magarri yetu SUVs.
Sasa tofauti ni wapi?
umeelewa kwanzaKwanini itangulie wakati speed ni sawa?
Kwa fikra zako hizi mkuuKwa muktadha wako huu...... je una maoni gani kwa trecta lenye tairi dogo mbele na kubwa nyuma lakini tracta lina speed ilele?
Kuna tofauti kati ya hatua na mwendoKwa fikra zako hizi mkuu
Unataka kusema kua hatua 100 za Hashim Thabit zitakua sawa na hatua 100 za joti Kwa sababu zote ni hatua
Mkuu umemjibu vizuri sana ndugu yangu New CityKuna tofauti kati ya hatua na mwendo
Mfano kumshika mtoto mkono mtembee pamoja yeye atakimbia wewe utatembea,
hatua tofauti lakini mwendo ni mmoja