Passport kutolewa ndani ya siku 3

Passport kutolewa ndani ya siku 3

Mfumo umetengenezwa kuzuia wananchi wasipate pasipoti ndio maana wanataka barua ya kazi, mwaliko, shule nk ili upewe pasipoti.

Inashangaza sana kwa kweli
Inashangaza kuona wasomi wa sasa waliotembea nchi za watu bado wamekubaliana na mawazo ya wazee waliopiti ambao walitengeneza mifumo ya kumbana mwanachi ktk swala hilo. Yaani mlolongo mreeeefu
 
Sasa hivi inapatikana kirahisi sana kuna jamaa yangu kaipata kwa siku zisizozidi 14 tu ukiwa na viambatanishi vyote.
 
Sema wanaokera ni hawa manyumbu NIDA kakadi ka uraia wanaona ni dili kubwa saana.
 
Pass yangu niliipata ndani ya siku nne, ila ni hizi za zamani sio epassport.
 
Kwa hili nchi yetu imepiga hatua sana, mm nilipata ndani ya siku tatu yani nilijaza form jtatu nakupata jtano ya week hiyo hiyo. Na tena jina langu lilitoka jnne
Bongo nchi ya kishamba sana kwenye ukanda wetu ,wanadhani passport ndio mwisho kumbe kuna Visa/Resident permit ya huko uendako.
Wakubwa hivi eti inawezekanaje Rwanda passport kutolewa ndani ya siku 3,watz tunakwama wapi
 
Wakubwa hivi eti inawezekanaje Rwanda passport kutolewa ndani ya siku 3,watz tunakwama wapi

Ukilipia kihalali kbsa TZS 1,000,000/- wanakupa VIP service ndani ya dakika kadhaaa kitu hicho.....
 
Back
Top Bottom