Passport kutolewa ndani ya siku 3

Passport kutolewa ndani ya siku 3

Utaambiwa Rwanda ni ndogo kuliko Tanzania. Sasa swali linakuja hapa, kwani ni idadi yote ya Watanzania inataka hiyo Hati au ni kiasi kidooogo sana wanataka!?
 
Vipi kwa watu wa mikoani,

Kuna uwezekano wa kufanyia mchakato mzima na kuipata bila kufika Posta Dar au Kuna hatua ni lazima mtu asafiri kuifuata passport Dar?
Sina uhakika ila nadhani lazima dar na ofisi zipo kurasini sio posta.ikitoka ndo unaifata posta.
 
Back
Top Bottom