Well said nchi ya kishamba ,Mfumo umetengenezwa kuzuia wananchi wasipate pasipoti ndio maana wanataka barua ya kazi, mwaliko, shule nk ili upewe pasipoti.
Inashangaza sana kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well said nchi ya kishamba ,Mfumo umetengenezwa kuzuia wananchi wasipate pasipoti ndio maana wanataka barua ya kazi, mwaliko, shule nk ili upewe pasipoti.
Inashangaza sana kwa kweli
agata edward and the co. This is extremely dangerous gameMwenye uwezo wakunisaidia kupata passport ndani ya wiki naomba aje pm.
Kuna wakati naona aibu sana kuwa mtanzania inawezekana hawa uhamiaji ndio wanamkwamisha hata rais kwenda nje ya nchi
Huwezi linganisha population ya rwanda na tz.Wakubwa hivi eti inawezekanaje Rwanda passport kutolewa ndani ya siku 3,watz tunakwama wapi
Ofisi zote za umma kuna mavazi ya kuingiliaNje ya mada,
Huko uhamiaji bado wana ujinga wa kufatilia mavazi na kurudisha watu?
150,000.Gharama ya jumla ni Sh. ngapi kupata epassport?
Vipi kwa watu wa mikoani,150,000.
Sina uhakika ila nadhani lazima dar na ofisi zipo kurasini sio posta.ikitoka ndo unaifata posta.Vipi kwa watu wa mikoani,
Kuna uwezekano wa kufanyia mchakato mzima na kuipata bila kufika Posta Dar au Kuna hatua ni lazima mtu asafiri kuifuata passport Dar?
Mbona hata hapa kwetu inawezekana kwa siku moja tu [emoji16]