Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Passport na Leseni ya udereva inatakiwa vijana wapate ili kuangalia fursa popote pale mkifungiana wote ndani haisaidii kitu...kupata mambo mengi mara barua ya mwaliko wakati kuna Nchi wanatoa Visa ukifika hiyo barua ya nini hapo wapeni raia mikwaju pato la Taifa likue kupitia wao pia...