Passport kutolewa ndani ya siku 3

Passport kutolewa ndani ya siku 3

Kupata passport Tanzania ndani ya siku 5 za kazi unaweza pata bila shida yoyote. Infact hata siku mbili unaweza pata
 
Wanarudisha aisee, mwaka jana nilienda pale kumsindikiza mtu wakanikazia eti nivae kama mtumishi wa Umma, ilitokea mvutano mpaka mzee mmoja (nadhani ni mkubwa wao) akaingilia ndio nikapita..... mwaka ujao natarajia kwenda kurenew sasa nataka nijipange kabisaaaa.
Njoo dukani kwetu tutakuuzia suti Kali sana kwa Bei nafuu
 
Bado wanaendelea Kuna siku niliona wamemzuia dada mmoja alivaa nguo ya kubana wakamrudisha,na siku nyingine Kuna brother mmoja alivaa suruali nyepesi Kama za kulalia naye walimrudisha.
Waendelee hivo hivo, pale ni Ofisini sio danguro. Hata Lugalo GMH ukienda na mavazi ya kwendea kujiuza utaishia getini.
 
Yangu ilichukua siku 20....hakuna haja ya kuwa na mtu wa kukusaidia, chakufanya andka details zszo na maswali mengi.....kaz andka mkulima, nchi unayoenda sema kenya, lengo ni matembezi tu...... Viambatanisho hapo ni chet chako cha kuzaliwa, cha mzaz ama affidavit, barua ya mtendaji na copy ya kitambulisho cha taifa kwsha mchezo...ukiandka cjui ni mtumishi mahal..barua ya mwajr hapo...mambo ya shule...vyeti mzee mara admission letter..utasumbuka bure.
Sasa tuluozaliwa enzi za sokoine cheti Cha kuzaliwa tunatoa wapi?
 
Kuna jamaa zenji alifanya usajili asubuhi jioni akapigiwa simu akaichukue hakuwahi akaifuata asubuhi mapema.
Yeah ila...

Na kwa zenji haichukui muda kama huku... Kule ndani ya wiki una pata... Yani zile siku tano za kazi...
 
Mambo mengine ya ajabu, sasa uvae kama mtumishi wa umma ili iweje? Mi nadhani hizi mambo za dress code isiwe kipaumbele kiivo, sasa usije enda umevaa chupi (jokes)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nita wa surprise hadi wafurahi.
 
Mi Kenya huwa naenda tu ata bila ya kuwa na hiyo passport, yaani kama natoka Mwanza naingia Dar.
Kuna ndugu yangu alikuwa anataka kwenda kenya akaambiwa akate ile temporary wamemkatalia kubwa
 
Kama ni natokea huku Bara naweza kwenda kuchukua kwa huko zenji?
Kuna jamaa zenji alifanya usajili asubuhi jioni akapigiwa simu akaichukue hakuwahi akaifuata asubuhi mapema.
 
Mi Kenya huwa naenda tu ata bila ya kuwa na hiyo passport, yaani kama natoka Mwanza naingia Dar.
Ni kweli, wa huku mpakani huwa tunaingiaga tu na kutoka Ila yeye alikuwa anatokea na dar na alikuwa anafika mpk Uganda so aliamua tu ikiwezekana awe nayo ndio ikawa hivyo
 
Back
Top Bottom