Passport kutolewa ndani ya siku 3

Passport kutolewa ndani ya siku 3

Mwenye uwezo wakunisaidia kupata passport ndani ya wiki naomba aje pm.
Mimi nimepata ya kwangu bila ya msaada wa mtu yeyote kwa wiki 1 acha uoga andaa doc zako uende usisikilize maneno ya watu.sasa passport inapatikana kwa week moja tu mtu anaweza akajifanya kakusaidia kumbe imetoka kihalali kabisa
 
Kipindi nafuatilia pass yangu sikuwahi ona hizo mambo, labda wawe wameanza utawala huu.
Wanarudisha aisee, mwaka jana nilienda pale kumsindikiza mtu wakanikazia eti nivae kama mtumishi wa Umma, ilitokea mvutano mpaka mzee mmoja (nadhani ni mkubwa wao) akaingilia ndio nikapita..... mwaka ujao natarajia kwenda kurenew sasa nataka nijipange kabisaaaa.
 
Bongo nchi ya kishamba sana kwenye ukanda wetu ,wanadhani passport ndio mwisho kumbe kuna Visa/Resident permit ya huko uendako.
Umeongea point sana mkuu.
Wana kasumba ya kuona wakikupa Passport eti ndio utatoboa maisha kumbe Kuna michakato mingi sana Hadi kwenda kuishi kwenye nchi za watu.
 
Siku CCM iktoka madarakani ,huu upumbavu wa NIDA na Pale Uhamiaji utakwisha.

Urasimu mwingi sana.
 
Back
Top Bottom