Passport ya Tanzania imeanza kuzuiliwa kuingia na VISA on arrival kwa baadhi ya nchi za Africa e.g Madagascar

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2010
Posts
8,069
Reaction score
15,029
Habari wanabodi!!

Naleta taarifa hii ili mamlaka zinazohusika waweze kutolea ufafanuzi nini kinaendelea huko ndani.

Baadhi ya nchi za Afrika wameanza kuzuia watanzania kuingia na VISA on arrival. Nina uhakika wa asilimia 100 kwa nchi mbili e.g Madagascar.

Kwa Madagasca ilikua ni kuingia na visa on arrival but kuanzia mwezi huu wa 10 imekua lazima uombe visa kabla.

Na za ndani ni sababu ya usalama. Kumekua na wimbi la watanzania kuingia Madagascar kwa kutumia makampuni ya wachina na kufanya biashara haramu.

Nchi nyingine ni ya west Afrika.

Je shida ni nini? Ni wanafanya reciprocal au kuna jambo linaendelea sisi hatujui? Hii inatunyima fursa za kiuchumi wabongo....
 
Madagascar unafata nini sasa kule au wale warembo wao?
 
Mbaya sana kwa Nchi ndogo zikianza kurudisha Visa na wale wakubwa wanastuka na wao watakuja na masharti zaidi sema kwa kuwa hatuna wizara ya Nje yenye watu makini hizi taarifa tutaendelea kuzipata hapa hapa na usuruhishi wake.
 
Mbaya sana kwa Nchi ndogo zikianza kurudisha Visa na wale wakubwa wanastuka na wao watakuja na masharti zaidi sema kwa kuwa hatuna wizara ya Nje yenye watu makini hizi taarifa tutaendelea kuzipata hapa hapa na usuruhishi wake.
Watu wanakosa fursa sana. Kama madagascar now inafunga sana upande wa engineering na wana uhaba wa wataalamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…