Pastor Myamba afunga ndoa

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,182
Reaction score
1,288

Pastor Myamba na Mkewe Praxceda wakionyesha pete zao za ndoa

Sio muvi wala maigizo bali ukweli ni kwamba Mwigizaji machachari wa Bongo Movie anayezitendea haki scene za uchungaji, Pastor Myamba ameaga rasmi maisha ya ubachela baada ya kufunga pingu za maisha na mchumba wake wa kipindi kirefu aitwae Praxceda hapo jana.Akionekana kuwa mwenye furaha isyo na kifani, Myamba aliweza kushea baadhi ya picha za ndoa yake kwenye ukurasa wake wa Facebook ikiwemo zawadi baab kubwa ya kitita cha pesa zilizokuwa zimewekwa kwenye kitololi walizozawadiwa na wanakamati.


Mr na Mrs Myamba wakitoka nje ya kanisa baada ya tendo la kufunga ndoa kumalizika


MR & MRS Myamba wakiwa ufukweni katika picha ya pamoja na wapambe wao


Nikuite nani Pesa???? Mr & Mrs Myamba wakionyesha minoti waliozawadiwa na kamati ya harusi


Pastor Myamba na Praxceda siku ya send off



Chanzo: LaryBway Blogu
 

Attachments

  • Capture1.jpg
    27.8 KB · Views: 1,057
Duuu hizo ni hela kweli au photoshop
 
Hongera Muyamba,kanisa lake lipo wapi huyu?
 
Nahisi hii ni ile staili sawa na ya kitchen party ya kuazima vyombo kwa ajili ya show off lolz..

Otherwise tunarekodi movie.
 
Hajaoa msanii mwenzake!!? Km ameenda kuchukua kijijini pole yake,mzigo lazima upigwe. Bora angemuoa uwoya au shamsa akajua moja kuwa ana kahaba ndani! Haya pastor Miyamba karibu kwenye maisha yaliyojaa stress!
 
Duuu hizo ni hela kweli au photoshop

Ni photoshop,milion 250 usiku kwenye ukumbi wa sherehe?.kaka jambazi na team yake lini amestaafu kazi?


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…