Pastor Tony: Kwenda mbinguni sio kipaumbele cha mkristo, Pesa ndio kipaumbele

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Umeongea vizuri sana kiongozi

Nakumbuka baba yangu aliwai niambia "Ni heri ufe kuliko pesa ife ikuwache manaa utateseka sana"

Nakubaliana na wewe hapo mkuu. Lakini mpaka unaona mtu anaingia huko kote mulize kwanza anayo maarifa yakutosha ata juu ya hilo analo lifanya?

Mtu anafanya biashara ili alishe familia. Hela hiyo hiyo iyendeshe biashara na hela hiyo hiyo ipeleke watoto shule ela hiyo hiyo ipeleke chakula nyumbani.

Kiukweli hapa lazima sasa tuanze kusaka miujiza kwa hawa watu na kusaka kuubiriwa tafuta pesa tafuta pesa.

Iko hivi ili uipate pesa nilazima uwe na kitu cha kufanya ambacho hiko kitu ndicho kitakacho leta pesa kwako. Nisawa na kusema.
1. Uwajiriwe au
2. Ujiajiri.

Pesa sasa hapo lazima uivute ije kwako. Umesoma diploma utalipwa sawa na range ya diploma umosoma digri utalipwa sawa na digri.

Manake utapata pesa kulingana na dhamani ulio iweka.

Haya tuje kwa mfanya biashara mfano wewe ni muuza mtumba lazima ujuwe nafanyaje kuongeza thamani ya pesa yangu.

Yani pesa ipogo tu daily lakini unamaarifa kiasi gani kuipata

Sasa ili uwe na maarifa mengi zaidi na ufanye zaidi. Mungu ndie atakupa hayo marifa zaidi ya unavyo fikiri.
 
Namba ya sadaka ni
 

Attachments

  • FB_IMG_16781542529941418.jpg
    34.9 KB · Views: 2
Mungu alishatupa maarifa ni uzembe wetu mimi kuna kitu na kifuatilia kwasasa nacho ni kwanini binadamu akipata pesa za kutosha akili ya kuzitafuta zingine zinazimika, vile vile maskini akipata matako hulia mbwata

Mimi mara nyingi hunikuta mfano ninakuwa sina hata mia mfukoni unapata elfu sitini kwa mfano unashangaa baada ya siku chache hiyo pesa ,hakuna Tena siku 2 ama tatu, hata ukipata 10m unashangaa zinapo karibia kuisha Ndiyo akili ya kuzitafuta zingine inarudi,

kwakifupi binadamu akipata changamoto akili hufanya kazi kwa kiwango cha juu sana, yaani akipata tatizo akili inafanya kazi na alivyo mzembe akili hizo hizo zinazo muwezesha kupata ama kutafuta pesa anapokuwa na changamoto hazitumii kila siku

Hitimisho lazima tuwe na pesa Ili tuishi maisha ya kumpendeza Mungu Tena hata hawo wachungaji watakupenda na kukuombea, hahaha πŸ˜‚

Money speaks louder than words, to have money is a good feeling, when I have money My mind becomes very free

Ukiwa na pesa utapendwa na watu wengi kama huna pesa unakuwa ni adui, wenye pesa waacheni wale vinono hahaha
 

Mpaka sasa wajinga ndio wanakariri kuwa kuna mbingu. Niwaondoe ujinga, mbinguni ni hapa duniani, ukiishi vizuri ni mbinguni na ukiishi kwa mateso ni motoni
 
Mpaka sasa wajinga ndio wanakariri kuwa kuna mbingu. Niwaondoe ujinga, mbinguni ni hapa duniani, ukiishi vizuri ni mbinguni na ukiishi kwa mateso ni motoni
Wanaishi kwa matumaini, ambayo hayapo ,eti wengine wanamuomba Mungu waishi maisha marefu huku wanaishi kwa kuteseka, hawana chakula yaani ni shida tupu, kausha damu Ndiyo suruhuhisho ya maisha yao.

Badala ya kuumiza kichwa kubuni chanzo sahihi cha kujiingizia kipato watu wanakuwa wavivu wa kufikiri na kuangukia kwenye mikono ya wakausha damu hahaha, zamani mbona mikopo haikuwepo na tulimudu vizuri maisha
 
Unadhani nini kimetufikisha hapa?
Hizi ni nyakati za mwisho na muda umesogea sana hivyo na shetani ana muda mchache wa kuendelea kuudanganya ulimwengu hivyo basi mahubiri ya watu kufanya toba na kuishi maisha matakatifu yanaelekea kukosa mvuto kwa watu wengi tu.
Kwa kifupi shetan naye yupi kazini na watenda kazi wake.
Siku za mwisho hizi upendo wa wengi umeshapoa!!!
 

Kosa la wakristo duniani hapa ni kuondoka kwenye lile Kanisa la kwanza la asili la Yesu Kristo na kuanzisha "makanisa" yao.
 
Huyo mikutano yake yote anafanya kutafuta pesa. He is dead spiritually. Kupenda pesa.......
Hivi kwani Kuna wakati amekuwa hai kiroho! mm siku zote najua ni mhuni flani tu mwenye kipaji cha kukusanya watu Kwa kutumia neno la Mungu ili apate maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…