tapemeasure
Senior Member
- Jan 15, 2020
- 160
- 106
😂😂😂😂 Umeongea vizuri sana kiongoziWatu wengi wanatamani waishi maisha marefu wakati huohuo wanazungukwa na madeni hadi yanayaitwa kausha damu, kumbe uwezo wao wa kipata umezidi kiwango cha marejesho, unamuomba Mungu uishi maisha marefu wakati huna pesa, tafuta pesa ili uweze kutimiza malengo ambayo Mungu alikuumba uyatimize vinginevyo bora ufe mapema usitaabike ama kusumbua watu wengine kwa mizinga
Nakumbuka baba yangu aliwai niambia "Ni heri ufe kuliko pesa ife ikuwache manaa utateseka sana"
Nakubaliana na wewe hapo mkuu. Lakini mpaka unaona mtu anaingia huko kote mulize kwanza anayo maarifa yakutosha ata juu ya hilo analo lifanya?
Mtu anafanya biashara ili alishe familia. Hela hiyo hiyo iyendeshe biashara na hela hiyo hiyo ipeleke watoto shule ela hiyo hiyo ipeleke chakula nyumbani.
Kiukweli hapa lazima sasa tuanze kusaka miujiza kwa hawa watu na kusaka kuubiriwa tafuta pesa tafuta pesa.
Iko hivi ili uipate pesa nilazima uwe na kitu cha kufanya ambacho hiko kitu ndicho kitakacho leta pesa kwako. Nisawa na kusema.
1. Uwajiriwe au
2. Ujiajiri.
Pesa sasa hapo lazima uivute ije kwako. Umesoma diploma utalipwa sawa na range ya diploma umosoma digri utalipwa sawa na digri.
Manake utapata pesa kulingana na dhamani ulio iweka.
Haya tuje kwa mfanya biashara mfano wewe ni muuza mtumba lazima ujuwe nafanyaje kuongeza thamani ya pesa yangu.
Yani pesa ipogo tu daily lakini unamaarifa kiasi gani kuipata
Sasa ili uwe na maarifa mengi zaidi na ufanye zaidi. Mungu ndie atakupa hayo marifa zaidi ya unavyo fikiri.