Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Vyuma vinakazaje wakati tupo uchumi wa kati kwa mujibu wa ccm na matagaMaandazi unayajua wewe?
Kuna mama hapa mtaani anapika anakandia na Nazi,mazuriiiii na matamuuuuuu na lainiiiiii lakini yanabaki.vyuma vumekaza watu wanakunywa gahawa ya sh 100/ asubuhi wanaenda mihangaikoni,wacha Mambo ndugu.